Hello JF

Hello JF

Kesho niletee juice nyumbani njoo pm kwa maelezo zaidi
 
Asante mwenza. Baby zetu wameniambia nimekua kibonge sana lakini. Usijiuzulu mwenza nikiachwa ushikilie wewe asije mwingine wakati nikipambana na gym
Mwenza una ushepu sijui nijiuzulu tu kabla sijakatwa....
 
Asante mwenza. Baby zetu wameniambia nimekua kibonge sana lakini. Usijiuzulu mwenza nikiachwa ushikilie wewe asije mwingine wakati nikipambana na gym
Haha mimi mwenyewe kibonge ila sina ushepu au tupeane zamu ya gym
 
Sikuu gani kesho?? sema vyupa vya kesho kama najiona wallah. Kuna party moja hiyo imenifanya leo nisinywe niandae koo kwa kesho tuu.. hahahahaaa
Pumzika tu..kesho utalewa vizuri siunajua kesho sikukuu ni mwendo vyupa tu na wew washkaji zako watu wa mpira
 
Back
Top Bottom