Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Natanguliza Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuja ila haitoshi.....Kama uko serikali za mitaa nenda kwa afisa utumishi atakupa muongozo wa lini pesa zitakuwepo ili uombe na kupewa kama wengine wanavyokopeshwa.
Kikubwa hakikisha kwenye salary slip yako kuna zaidi ya 1/3 ya mshahara wako.
N.B.
1. Huwa fedha inaletwa mara moja kwa mwaka, hivyo fuatilia kwa ukaribu ili fedha ikiletwa uwe na taarifa kwa wakati.
2. Hakuna riba ila utakatwa 2% kama gharama ya kuchakata mkopo na mengineyo
3. Kwa waajiriwa wa serikali kuu sijui utaratibu, hivyo wanaofahamu watatujuza.
Mwenye maboresho ya hiki au marekebisho karibu kwa mchango tumsaidie mwenzetu kuwa na taarifa sahihi.
cc Senior security