Hello , nipeni muongozo wa kupata pesa za mkopo wa hazina kwa mtumishi wa umma.

Kama uko serikali za mitaa nenda kwa afisa utumishi atakupa muongozo wa lini pesa zitakuwepo ili uombe na kupewa kama wengine wanavyokopeshwa.

Kikubwa hakikisha kwenye salary slip yako kuna zaidi ya 1/3 ya mshahara wako.

N.B.

1. Huwa fedha inaletwa mara moja kwa mwaka, hivyo fuatilia kwa ukaribu ili fedha ikiletwa uwe na taarifa kwa wakati.

2. Hakuna riba ila utakatwa 2% kama gharama ya kuchakata mkopo na mengineyo

3. Kwa waajiriwa wa serikali kuu sijui utaratibu, hivyo wanaofahamu watatujuza.

Mwenye maboresho ya hiki au marekebisho karibu kwa mchango tumsaidie mwenzetu kuwa na taarifa sahihi.

cc Senior security
 
Dah hiyo pesa ni mwaka wa nne naifatilia siipati, wanagawana tu wakuu was idara huko halmashauri, pamoja na wafanyakazi was halmashauri ukiona Mwalimu kapata ujue hapo kaachia fungu la kumi, ukiritimba ni mwingi sana.
 
Kama uko serikali za mitaa nenda kwa afisa utumishi atakupa muongozo wa lini pesa zitakuwepo ili uombe na kupewa kama wengine wanavyokopeshwa.

Kikubwa hakikisha kwenye salary slip yako kuna zaidi ya 1/3 ya mshahara wako.

N.B.

1. Huwa fedha inaletwa mara moja kwa mwaka, hivyo fuatilia kwa ukaribu ili fedha ikiletwa uwe na taarifa kwa wakati.

2. Hakuna riba ila utakatwa 2% kama gharama ya kuchakata mkopo na mengineyo

3. Kwa waajiriwa wa serikali kuu sijui utaratibu, hivyo wanaofahamu watatujuza.

Mwenye maboresho ya hiki au marekebisho karibu kwa mchango tumsaidie mwenzetu kuwa na taarifa sahihi.

cc Senior security
Inakuja ila haitoshi.....
 
Back
Top Bottom