AbaMukulu JF-Expert Member Joined Jan 1, 2018 Posts 2,053 Reaction score 3,586 Dec 13, 2018 #181 amu said: Wewe unaona hapa naongelea bata? Ndiyo AbaMukulu nipo hatua hiyo, inauma zaidi pale mtu wako wa karibu anakupa kisogo Click to expand... Japo kuna watu wetu wa karibu lakini sio vizuri sana kuweka utegemezi wa kihisia kwa watu wengine. Ukishaweka utegemezi wa kihisia jua watakuumiza. Lakini kama hautoweka utegemezi basi wakifanya kitu tofauti unaweza move on kwa wepesi
amu said: Wewe unaona hapa naongelea bata? Ndiyo AbaMukulu nipo hatua hiyo, inauma zaidi pale mtu wako wa karibu anakupa kisogo Click to expand... Japo kuna watu wetu wa karibu lakini sio vizuri sana kuweka utegemezi wa kihisia kwa watu wengine. Ukishaweka utegemezi wa kihisia jua watakuumiza. Lakini kama hautoweka utegemezi basi wakifanya kitu tofauti unaweza move on kwa wepesi