hata mumeo asikwambie?Kuna kitabu nasomakinaitwa uncommon woman
Kimenifundisha kitu kikubwa juu ya maisha
Furaha inarejea kwa kasi
Don't let anyone tell you what to do when to do etc
Halafu punguza trust kwa watu
Itabidi unitumie copy pm nikisome, hapo kwenye trust ndo penyewe umeongelea, unamuamini huyu mtu mzima kama baba yangu hawezi nifanyia tofauti mimi mwanae natafuta, huyo huyo anakupiga mpunga.Kuna kitabu nasomakinaitwa uncommon woman
Kimenifundisha kitu kikubwa juu ya maisha
Furaha inarejea kwa kasi
Don't let anyone tell you what to do when to do etc
Halafu punguza trust kwa watu
hata mumeo asikwambie?
Itabidi unitumie copy pm nikisome, hapo kwenye trust ndo penyewe umeongelea, unamuamini huyu mtu mzima kama baba yangu hawezi nifanyia tofauti mimi mwanae natafuta, huyo huyo anakupiga mpunga.
Binadamu tumekuwa wa ajabu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana hukutaka hata kuyajua anayoyapitiaNi wewe tu mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana hukutaka hata kuyajua anayoyapitia
Napitia makubwa rafiki wala hauko peke yako ujueUnapitia yapi rafiki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana hukutaka hata kuyajua anayoyapitia
Sugar daddy kakuwahi tena? mh!Tafuta masugar daddy wa ukweli siyo wapiga mizinga cc Sugar dadyItabidi unitumie copy pm nikisome, hapo kwenye trust ndo penyewe umeongelea, unamuamini huyu mtu mzima kama baba yangu hawezi nifanyia tofauti mimi mwanae natafuta, huyo huyo anakupiga mpunga.
Binadamu tumekuwa wa ajabu sana.
Rafiki kuna siku niliwahi kukununulia sigara!Umeshanisahau tayari?hujaniona, Chura ninayo
Mane nakuomba usicheke yasije yakakukuta na wewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km.mazuri
Hahahaa ile ya kibabe sana aiseeHalafu rudisha ile avatar yako ya Tom Boy.
Hahahaa ile ya kibabe sana aisee
Aisee nitake radhi mie sio dume tafadhaliIle ndiyo nilipenda hadi nikajua wewe dume.
Siku moja unakumbuka nilikuuliza jinsia yako ukasema hujui? Ni kwa sababu ya avatar yako.Aisee nitake radhi mie sio dume tafadhali
Katika hayo unayopitia ulishawahi kuwaza au kutamani ulale usiamke tena, ulale usingizi wa milele? au ushawahi jifungia ndani siku nzima unalia?