Nimepapenda hapa amu pole sanakama hautojali nitakutafuta siku nikufundishe kitu.. wamarakeni wana msemo wao trust no body, suspect everybody... huo msemo ukiutumia maishani au kwenye business huwezi pata shida zaidi ya kujilaumu mwenyewe
Kuna kipindi nilikua namlilia Mungu kwa nini Sina marafiki
Akanipa mmoja ameninyoosha nimekoma
Ndomana Mimi sina marafiki.Tumekuwa watu wa ajabu ajabu sana, utapeli, kudhurumiana, kutojaliana, kufurahia mwenzako kuwa na matatizo shida, wizi yaani mambo ya ajabu.
Mtu unayesoma huyu ni wangu nifunguke kwake tutashare mawili matatu , unaishia kupata disappointments tu.
Polee sana Amu
Mondray, Upo sahihi.Pole sana mrembo, nilijua niko mwenyewe humu.. Take a breath and be Strong Amu nothing lasting forever even we..
pita hapa utapata mawili matatu >>>>>>>>>>>>The Inner peace, hii ndio furaha ya kweli jifunze sasa maisha yako yawe ya furaha siku zote.. - JamiiForums
Upo sahihi kabisa, ila kuna vina viwili vitatu nimeokota, navifanyia kazi.Uko very general, utapata sympathy za watu tofauti tofauti lakini swala hilo litaendelea kukutatiza kwa sababu hujaliweka wazi.
Kila mmoja anajaribu ku-guess ni kitu gani, nini shida, nk.
Ingawa pia unaweza kueleza na usipate suluhu, labda pia unaogopa kuanika vingi kwa sababu pia si vyema kuwa wazi sana.
Pole.
Upo sahihi kabisa, ila kuna vina viwili vitatu nimeokota, navifanyia kazi.
Mh rafiki na wewe umezidi,chura inaingia VP sasa hapo jamani??Rafiki tatizo huna chura!
Hahahah hornet nimecheka kama mazuri pole sana mpenzi
Nataka nikuulize some Qns.Mondray, Upo sahihi.
Pole sana.Tumekuwa watu wa ajabu ajabu sana, utapeli, kudhurumiana, kutojaliana, kufurahia mwenzako kuwa na matatizo shida, wizi yaani mambo ya ajabu.
Mtu unayesoma huyu ni wangu nifunguke kwake tutashare mawili matatu , unaishia kupata disappointments tu.
Ngabu ake......nimepoa, nimeagizia bitter lemon baridi.