Hellow!

Hellow!

Karibu sana majirani wa hapa ni wachonganishi na pia wagomvi. Ukitaja kwenda gengeni pita barabara ya kusini-Mashariki angalia usipite Katikat ya bustani ya HAMY-D, wala karibu na geti la ZeMarcopolo na chama utajuta maana utapata matusi na Mipasho ya mkigoma na Faiza fox! Ni afadhali umwombe Pasco amshawishi sweeti lady akusindikize kupitia kwa Mzee Mwanakijiji.

Yakikushinda hayo mpigie simu Arushaone ili amwambie Mwita Maranya amwombe nduguye mohamed mtoi aje na taxi ya kukupeleka huko, mana njiani kuna vibaka hatari ingawa kuna walinzi mahili kama Paw na wengine are Invisible
 
Last edited by a moderator:
Kuna wasumbufu wawili tu jf nao ni oil sumu na mpigamsuli so please usiwe kama hao..anyway karibu sana jukwaa la wastaarabu
 
Karibu sana majirani wa hapa ni wachonganishi na pia wagomvi. Ukitaja kwenda gengeni pita barabara ya kusini-Mashariki angalia usipite Katikat ya bustani ya hammy_B, wala karibu na geti la @Zemacoporo na chama utajuta maana utapata matusi na Mipasho ya mkigoma na Faiza fox! Ni afadhali umwombe Pasco amshawishi sweeti lady akusindikize kupitia kwa Mzee Mwanakijiji. Yakikushinda hayo mpigie simu Arushaone ili amwambie Mwita Maranya amwombe nduguye mohamed mtoi aje na taxi ya kukupeleka huko,mana njiani kuna vibaka hatari ingawa kuna walinzi mahili kama Paw, ASHAdi na wengine are Invisible
Malaika
mso hili ana lile; ubaya sijazaliwa nao
jirani zangu furaha tele; mahasidi nafa nao
siziogopi kelele; kamanda nitakuchapa nao
Muulize Mamndenyi; vitamu ajilia vyake

Uongo si kazi yangu; busara imenijaa
Naogopa walimwengu; tamaa zimewajaa
Karibu nyumbani kwangu; uyale yako marahaa

nashukuru,na uzuri walio wengi nimeshajua tabia zao humu jf.najua jinsi ya kuishi nao.
 
Last edited by a moderator:
Malaika
mso hili ana lile; ubaya sijazaliwa nao
jirani zangu furaha tele; mahasidi nafa nao
siziogopi kelele; kamanda nitakuchapa nao
Muulize Mamndenyi; vitamu ajilia vyake

Uongo si kazi yangu; busara imenijaa
Naogopa walimwengu; tamaa zimewajaa
Karibu nyumbani kwangu; uyale yako marahaa
Muulize Mamndenyi; vitamu ajilia vyake

Teh teh teh unatisha ndugu Shabni Robert!
 
Last edited by a moderator:
Malaika kwa jina lako tamu,
lafaa kutulizana na vitu vitamu,
Mamndenyi ameshaonja tamu,
chama hana choyo na tamu,
atakutambulisha kwa mtamu,
ambaye ni Ritz ni mtamu,
siyo siasani tu hata hapa mi mtamu,
Malaika njoo uonje nchi tamu.

Malaika
mso hili ana lile; ubaya sijazaliwa nao
jirani zangu furaha tele; mahasidi nafa nao
siziogopi kelele; kamanda nitakuchapa nao
Muulize Mamndenyi; vitamu ajilia vyake

Uongo si kazi yangu; busara imenijaa
Naogopa walimwengu; tamaa zimewajaa
Karibu nyumbani kwangu; uyale yako marahaa
Muulize Mamndenyi; vitamu ajilia vyake
 
umekosea njia wewe ungeweka huu uzi jukwaa la utambulisho inaonekana tcu wamekuvuruga
 
kila kitu kina utaratibu wake ndo maana kukawa na jukwaa la utambulisho kwa ajili ya new members
 
Back
Top Bottom