Hoppity Cywale
Senior Member
- Aug 20, 2013
- 126
- 29
- Thread starter
- #41
umekosea njia wewe ungeweka huu uzi jukwaa la utambulisho inaonekana tcu wamekuvuruga
sidhani kama nimekosea sana coz mi sikujitambulisha nimesalimia.ila nashkr.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umekosea njia wewe ungeweka huu uzi jukwaa la utambulisho inaonekana tcu wamekuvuruga
kila kitu kina utaratibu wake ndo maana kukawa na jukwaa la utambulisho kwa ajili ya new members
Karibu sana majirani wa hapa ni wachonganishi na pia wagomvi. Ukitaja kwenda gengeni pita barabara ya kusini-Mashariki angalia usipite Katikat ya bustani ya HAMY-D, wala karibu na geti la ZeMarcopolo na chama utajuta maana utapata matusi na Mipasho ya mkigoma na Faiza fox! Ni afadhali umwombe Pasco amshawishi sweeti lady akusindikize kupitia kwa Mzee Mwanakijiji.
Yakikushinda hayo mpigie simu Arushaone ili amwambie Mwita Maranya amwombe nduguye mohamed mtoi aje na taxi ya kukupeleka huko, mana njiani kuna vibaka hatari ingawa kuna walinzi mahili kama Paw na wengine are Invisible