Hellow!

Hellow!

kila kitu kina utaratibu wake ndo maana kukawa na jukwaa la utambulisho kwa ajili ya new members

sina uhakika kama kuna uhusiano kati ya kujitambulisha na kutoa salamu.ila nitaenda kuuliza uhusiano wake jukwaa la lugha.
 
Karibu sana majirani wa hapa ni wachonganishi na pia wagomvi. Ukitaja kwenda gengeni pita barabara ya kusini-Mashariki angalia usipite Katikat ya bustani ya HAMY-D, wala karibu na geti la ZeMarcopolo na chama utajuta maana utapata matusi na Mipasho ya mkigoma na Faiza fox! Ni afadhali umwombe Pasco amshawishi sweeti lady akusindikize kupitia kwa Mzee Mwanakijiji.

Yakikushinda hayo mpigie simu Arushaone ili amwambie Mwita Maranya amwombe nduguye mohamed mtoi aje na taxi ya kukupeleka huko, mana njiani kuna vibaka hatari ingawa kuna walinzi mahili kama Paw na wengine are Invisible

Mbona unamtisha mwenzio...
 
Back
Top Bottom