Kuna wasumbufu wawili tu jf nao ni oil sumu na mpigamsuli so please usiwe kama hao..anyway karibu sana jukwaa la wastaarabu
karibu ila unamjua oil sumu waulize wenzio m meneja wa jf
Hahahahaaaa no comment...mzee wa MUCEsifa yake nyingne ana dege dege kichwani
MalaikaKaribu sana majirani wa hapa ni wachonganishi na pia wagomvi. Ukitaja kwenda gengeni pita barabara ya kusini-Mashariki angalia usipite Katikat ya bustani ya hammy_B, wala karibu na geti la @Zemacoporo na chama utajuta maana utapata matusi na Mipasho ya mkigoma na Faiza fox! Ni afadhali umwombe Pasco amshawishi sweeti lady akusindikize kupitia kwa Mzee Mwanakijiji. Yakikushinda hayo mpigie simu Arushaone ili amwambie Mwita Maranya amwombe nduguye mohamed mtoi aje na taxi ya kukupeleka huko,mana njiani kuna vibaka hatari ingawa kuna walinzi mahili kama Paw, ASHAdi na wengine are Invisible
mtu kama mimi haitatokea kuwa kama sumu coz tatizo lake hadi sasa nimeisha lijua!Karibu sana bt usiwe mlopokaji humu ndan kama oil sumu!
nashukuru,na uzuri walio wengi nimeshajua tabia zao humu jf.najua jinsi ya kuishi nao.Karibu sana majirani wa hapa ni wachonganishi na pia wagomvi. Ukitaja kwenda gengeni pita barabara ya kusini-Mashariki angalia usipite Katikat ya bustani ya hammy_B, wala karibu na geti la @Zemacoporo na chama utajuta maana utapata matusi na Mipasho ya mkigoma na Faiza fox! Ni afadhali umwombe Pasco amshawishi sweeti lady akusindikize kupitia kwa Mzee Mwanakijiji. Yakikushinda hayo mpigie simu Arushaone ili amwambie Mwita Maranya amwombe nduguye mohamed mtoi aje na taxi ya kukupeleka huko,mana njiani kuna vibaka hatari ingawa kuna walinzi mahili kama Paw, ASHAdi na wengine are Invisible
Kuna wasumbufu wawili tu jf nao ni oil sumu na mpigamsuli so please usiwe kama hao..anyway karibu sana jukwaa la wastaarabu
haha haha haha....karibu ila unamjua oil sumu waulize wenzio m meneja wa jf
sifa yake nyingne ana dege dege kichwani
karibu ila unamjua oil sumu waulize wenzio m meneja wa jf
Malaika
mso hili ana lile; ubaya sijazaliwa nao
jirani zangu furaha tele; mahasidi nafa nao
siziogopi kelele; kamanda nitakuchapa nao
Muulize Mamndenyi; vitamu ajilia vyake
Uongo si kazi yangu; busara imenijaa
Naogopa walimwengu; tamaa zimewajaa
Karibu nyumbani kwangu; uyale yako marahaa
Muulize Mamndenyi; vitamu ajilia vyake
Karibu sana bt usiwe mlopokaji humu ndan kama oil sumu!
namjua sana tu!
Malaika
mso hili ana lile; ubaya sijazaliwa nao
jirani zangu furaha tele; mahasidi nafa nao
siziogopi kelele; kamanda nitakuchapa nao
Muulize Mamndenyi; vitamu ajilia vyake
Uongo si kazi yangu; busara imenijaa
Naogopa walimwengu; tamaa zimewajaa
Karibu nyumbani kwangu; uyale yako marahaa
Muulize Mamndenyi; vitamu ajilia vyake
Since i'm new hapa jf,nimepita kuwasalimia tu.
umekosea njia wewe ungeweka huu uzi jukwaa la utambulisho inaonekana tcu wamekuvuruga