Karibu sana majirani wa hapa ni wachonganishi na pia wagomvi. Ukitaja kwenda gengeni pita barabara ya kusini-Mashariki angalia usipite Katikat ya bustani ya
HAMY-D, wala karibu na geti la
ZeMarcopolo na
chama utajuta maana utapata matusi na Mipasho ya
mkigoma na
Faiza fox! Ni afadhali umwombe
Pasco amshawishi
sweeti lady akusindikize kupitia kwa
Mzee Mwanakijiji.
Yakikushinda hayo mpigie simu
Arushaone ili amwambie
Mwita Maranya amwombe nduguye
mohamed mtoi aje na taxi ya kukupeleka huko, mana njiani kuna vibaka hatari ingawa kuna walinzi mahili kama
Paw na wengine are
Invisible