Helooo...!

Helooo...!

[emoji116]
unaweza fanya hivi;
bonyeza mshale wa enter kwa kidole kimoja bila kuachia...utaona alama ya emoj
then kidole kingine kiguse alama hiyo ya emoj...zitatokea nyingi sasa chagua uitakayo

bonyeza bila kuachia
 
Haibonyezeki emoj

inatokea hivi lkn?
Screenshot_20181105-215929.jpeg
 
Yeah hivyo hivyo ila nikibonyeza emoj haikubali
je unapobonyeza huwa kidole kinabaki na kidole kingine kinagusa hiyo alama ya emoj?
usiondoe kidole hadi uguse emoj kwa kidole kingine
Screenshot_20181105-221244.jpeg
 
Back
Top Bottom