Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante boss nikihold ni kweli zinatokea lakini nikiachia zinapotea...unaselect vipi
[emoji116]
unaweza fanya hivi;
bonyeza mshale wa enter kwa kidole kimoja bila kuachia...utaona alama ya emoj
then kidole kingine kiguse alama hiyo ya emoj...zitatokea nyingi sasa chagua uitakayo
bonyeza bila kuachia
inatokea hivi lkn?Haibonyezeki emoj
Yeah hivyo hivyo ila nikibonyeza emoj haikubaliinatokea hivi lkn?View attachment 922680
je unapobonyeza huwa kidole kinabaki na kidole kingine kinagusa hiyo alama ya emoj?Yeah hivyo hivyo ila nikibonyeza emoj haikubali
Haikubalije unapobonyeza huwa kidole kinabaki na kidole kingine kinagusa hiyo alama ya emoj?
usiondoe kidole hadi uguse emoj kwa kidole kingine
View attachment 922695
pole labda simu haisapotiHaikubali
Niko vizuri kabisaAsante my dear..uko poa eeh?