"Help! I'm Trapped In a Relationship I Don't Want to Be In!"

Najitolea kumpa ushauri nasaha na kumpiga injili ili aweke kwenye matendo huu ushauri mwanana wa Shemeji.La sivyo hata akipata mpenzi mwingine wa 'kumuoa' halafu ukiingia kwenye ndoa na upupu huu utawashwa na itakuwa ndoa ndoano.

sawa. but tell me did u receive the green mangoes nilizomwachia hausi boi wenu jana? huko kliniki inaelekea kuna watu kibao, umechelewa ZD!! Badili uwe unaenda agha khan
 
Nilikua kule kwa jamaa mmoja amekuja na uzi wa marrying a chagga, yaani amenichefua ningekua na mimba ingetoka. naomba kuuliza chawote Bar iko wapi? nataka tu nitie timu one day!! hope I will see you all there!

Hahahaha! Thats my Mshiki! CHAWOTE siyo? Nyumbani kwa fidel uneyemwogopa? Haya bana! Hehehe! Kichefuchefu kinatoa mimba? LOL! Ahsante Mungu kwa kuniumba mwanaume!
 
mbona hamjibu maembe nilimwachia housi boi wenu mliyapata????
 
sawa. but tell me did u receive the green mangoes nilizomwachia hausi boi wenu jana? huko kliniki inaelekea kuna watu kibao, umechelewa ZD!! Badili uwe unaenda agha khan
aga khan ndo noma, kuna foleni huko, si unajua tena wake za macorporate people kama nguli wote wanatia timu huko, acha kabisa tafuta sememu nyingine, ntakupm aha ahahaaaaaa, xpin bwana ushaleta matatizo sasa hata klinik bora hatujajua ni wapi.
 
Hahahahaa,nadhani hausigeli aliyafanyia mnada ,mie sikuyaona.ungeingia mwenyewe kuyaleta ndani dear,but thanks utuletee tena .
 
Hahahaha! Thats my Mshiki! CHAWOTE siyo? Nyumbani kwa fidel uneyemwogopa? Haya bana! Hehehe! Kichefuchefu kinatoa mimba? LOL! Ahsante Mungu kwa kuniumba mwanaume!

Msasha Fidel hapana!!!! Huko siwezi tia timu tena!! Fidel No!! Karibuni Billonaires club one weekend. mbili mbili sio Mbaya.
 
Ingekuwa valeur au serengeti ningeulizia! Embe sikumbuki nimekula mara ya mwisho lini.
Binamu, consult magazeti ya leo, valeur fake kontena kibao zimeingia nchini pamoja na grants, so kazi kwenu wazee wa viti virefu. I ma serious stukeni wapwa.
 
Naona off topic nyingi humu...VIV we hebu sasa make up your mind wana JF tushakupa ushauri wa kutosha..... na uje ututaarifu ...kama hataki kukuoa haya kula zako hamsini!!! aikuharibie wakati!
 
aga khan ndo noma, kuna foleni huko, si unajua tena wake za macorporate people kama nguli wote wanatia timu huko, acha kabisa tafuta sememu nyingine, ntakupm aha ahahaaaaaa, xpin bwana ushaleta matatizo sasa hata klinik bora hatujajua ni wapi.

usiniambie!!! (experiensi mataz), lakini na shemeji yangu mwenyewe mkoporeti, hivo ukimwelekeza ZD kliniki zingatia hilo.
 
aga khan ndo noma, kuna foleni huko, si unajua tena wake za macorporate people kama nguli wote wanatia timu huko, acha kabisa tafuta sememu nyingine, ntakupm aha ahahaaaaaa, xpin bwana ushaleta matatizo sasa hata klinik bora hatujajua ni wapi.

Wakati mnatushangilia Mikumi ,litegemea nini? Ndo hivo tena, anzeni kuandaa vizawadi vya nepi na kazalika!
 
Ingekuwa valeur au serengeti ningeulizia! Embe sikumbuki nimekula mara ya mwisho lini.

na makontena feki yamepakuliwa na hii krismasi mtaendesha bila leseni haya wee
 
Msasha Fidel hapana!!!! Huko siwezi tia timu tena!! Fidel No!! Karibuni Billonaires club one weekend. mbili mbili sio Mbaya.

Hilo jina linatisha! Bia shingapi hapo? Valeur zipo?
 
Hahaha! Nasikia tukutuku lilirudi mkwa rivasi mpaka hommy!
ilikuwa kaazi kweli kweli!
tunafika home jamaa ananilaumu...''mimi nilikwambia inatosha turudi nyumban ni usiku,wewe ukawa unalazimisha wani for the rodi,mpaka zikawa tano!...''

nilicheka sana!
 
Nilikua kule kwa jamaa mmoja amekuja na uzi wa marrying a chagga, yaani amenichefua ningekua na mimba ingetoka. naomba kuuliza chawote Bar iko wapi? nataka tu nitie timu one day!! hope I will see you all there!

we sema lini ViVian halafu ndo utajuwa umoja wetu ulivo. Usipime, utapata ushauri zaidi ya ushauri. Muulize binamu bht, carmel, shemeji yangu ZD na wengineo!
 
Binamu, consult magazeti ya leo, valeur fake kontena kibao zimeingia nchini pamoja na grants, so kazi kwenu wazee wa viti virefu. I ma serious stukeni wapwa.

Hahaha! Usijali binamu, wengine tumeshakuwa adikted kiasi kwamba hata kitu feki kinaonekana fresh with TBS approval kwa stomach!
 
we sema lini ViVian halafu ndo utajuwa umoja wetu ulivo. Usipime, utapata ushauri zaidi ya ushauri. Muulize binamu bht, carmel, shemeji yangu ZD na wengineo!

Hahaha! No comment!
 
Hahaha! Usijali binamu, wengine tumeshakuwa adikted kiasi kwamba hata kitu feki kinaonekana fresh with TBS approval kwa stomach!
tena hizi feki ndio zinatafutwa maanake ZINA STIMU ZA KUFA MTU!mamaa la kemo hebu soma hilo jarida useme ni wapi watakuwa wanazichoma niende!
 
Back
Top Bottom