Aaaaah Mpwa? Hujajua humu kuna vichwa vyenye akili za chakubanga? Wanafikiri kila kinachorushwa humu ni cha ukweli?
Siku hizi una huruma sana! Angerudia mwaka tu?Hio research hio?? namshangaa supervisor wako.... nikiwa external examiner utarudia mwaka.
KAIZER,
unaweza nipa kiwango cha ukweli in percentage KWENYE HAYA MAELEZO YA VIVIAN?i'm afraid watu watakuwa wanabrainstorm kitu ambacho practically hakiexist
Mkuu hiyo authority nitaipata wapi? anayo ViVian peke yake, na inabidi tuamini kuwa ni kweli hadi ithibitishwe vinginevyo!
hapa acha nikatafute mkalimani wa intapreta. kadada kameniacha ufukweni.Its not our job to validate the story put in here, only the person who posted knows the percentage of truth in the story, in whatever way, we will give our comments in relation to what is posted here. so whether it is true or not, thats not our business. au?
Mkuu hiyo authority nitaipata wapi? anayo ViVian peke yake, na inabidi tuamini kuwa ni kweli hadi ithibitishwe vinginevyo!
Kweli penye wengi yapo mengi.We dada nitafute faragha, nikupe means za kumshika huyo bwana atangaze ndoa kama uko kimapenzi na siyo kibishara zaidi.
Believe you me!! Thats a true Story am sincere Geoff! I really dont know how you want to prove this! but huo ni ukweli mtupu!! nafurahi nimepata ushuri ulionigusa na nitaufanyia kazi.
Yaani kama kuna proof unaitaka I can give you! provided I wont reveal my Identity before I break up with this guy!!
jamani mi nachangia tu kutoka na thread ilivyowekwa baasi, kama mtu kabandika uongo ntajuaje? nyie wenzetu mtuelimishe basi sisi wenye vichwa vya chakubanga..
kuna siku mtu ataleta hadithi ya SISIMIZI KAWABEBA TEMBO WAWILI....!still mtaendelea kubreinstorm ''mbeleko yake ilikuwa kubwa kiasi gani..''
Kweli penye wengi yapo mengi.
I wish i could have a way to prove this out to you guys! ila furaha yangu ushauri wa great thinkers umenisaidia sana!! in some other places one has to pay for this kind of advice! Thanks again my great pals. Asanteni sana. Japo najua itakua ngumu kwa wengi kuamini ila ni ukweli mtupu. siwezi kuidanganya nafsi yangu!! Thanks again
Jukwaa la mapenzi linafanya nione mke wangu ni wa thamani sana na nikimpotezaa nitachezea bani ya mapenzi ya life time. Mrs Nguli I love ya so much.
😀heheh yap kwa sababu hiyo ndo hoja itakayokuwa ipo uwanjani. Tukitaka tusijadili mbeleko, hoja iwe ni kwa nini tusijadili mbeleko! Mpwa upo apo?
unajua mama,
hatuhitaji thread yenye maisha yako halisi MOJA KWA MOJA!ila tunaomba thread ambayo ni PRACTICAL!inayo reflect the happenings in our real life!
just read between the lines!utaona mwenyewe
Jukwaa la mapenzi linafanya nione mke wangu ni wa thamani sana na nikimpotezaa nitachezea bani ya mapenzi ya life time. Mrs Nguli I love ya so much.
To be sincere, am confused! Thread za mshiki huwa zinanimalizaga. Nikikumbuka ile ya I hate my boss, nikaunganisha na hii.........Hahahaha! My Lord Jesus Christ!
Lol! Unajua huu uzi nimeukuta katikati! Kasi yake inatisha. Sikujua kama nilikuwa namzungumzia binamu yangu! Lol! Am sorry Triplets! Nakuheshimu sana, sikuwa na nia ya kuku-insult. So sory!