"Help! I'm Trapped In a Relationship I Don't Want to Be In!"

Aaaaah Mpwa? Hujajua humu kuna vichwa vyenye akili za chakubanga? Wanafikiri kila kinachorushwa humu ni cha ukweli?

jamani mi nachangia tu kutoka na thread ilivyowekwa baasi, kama mtu kabandika uongo ntajuaje? nyie wenzetu mtuelimishe basi sisi wenye vichwa vya chakubanga..
 
KAIZER,
unaweza nipa kiwango cha ukweli in percentage KWENYE HAYA MAELEZO YA VIVIAN?i'm afraid watu watakuwa wanabrainstorm kitu ambacho practically hakiexist

deh deh deh . bikozi hiyo hapo juu ndio maana nilimwambia mleta mada akaonane na mganga wa kienyeji. hili ni tego la karne mpya. kuna greti thinka mmoja alilivamia hili tego (jina kapuni). sjui kaishia wapi! deh deh deh nikisoma hii thread ndio najua utukufu wa uzembe. confyuzd but heppy.
 
Mkuu hiyo authority nitaipata wapi? anayo ViVian peke yake, na inabidi tuamini kuwa ni kweli hadi ithibitishwe vinginevyo!

kuna siku mtu ataleta hadithi ya SISIMIZI KAWABEBA TEMBO WAWILI....!still mtaendelea kubreinstorm ''mbeleko yake ilikuwa kubwa kiasi gani..''
 
We dada nitafute faragha, nikupe means za kumshika huyo bwana atangaze ndoa kama uko kimapenzi na siyo kibishara zaidi.
 
Its not our job to validate the story put in here, only the person who posted knows the percentage of truth in the story, in whatever way, we will give our comments in relation to what is posted here. so whether it is true or not, thats not our business. au?
hapa acha nikatafute mkalimani wa intapreta. kadada kameniacha ufukweni.
 
Mkuu hiyo authority nitaipata wapi? anayo ViVian peke yake, na inabidi tuamini kuwa ni kweli hadi ithibitishwe vinginevyo!

I wish i could have a way to prove this out to you guys! ila furaha yangu ushauri wa great thinkers umenisaidia sana!! in some other places one has to pay for this kind of advice! Thanks again my great pals. Asanteni sana. Japo najua itakua ngumu kwa wengi kuamini ila ni ukweli mtupu. siwezi kuidanganya nafsi yangu!! Thanks again
 
Believe you me!! Thats a true Story am sincere Geoff! I really dont know how you want to prove this! but huo ni ukweli mtupu!! nafurahi nimepata ushuri ulionigusa na nitaufanyia kazi.
Yaani kama kuna proof unaitaka I can give you! provided I wont reveal my Identity before I break up with this guy!!

Jukwaa la mapenzi linafanya nione mke wangu ni wa thamani sana na nikimpotezaa nitachezea bani ya mapenzi ya life time. Mrs Nguli I love ya so much.
 
jamani mi nachangia tu kutoka na thread ilivyowekwa baasi, kama mtu kabandika uongo ntajuaje? nyie wenzetu mtuelimishe basi sisi wenye vichwa vya chakubanga..

Lol! Unajua huu uzi nimeukuta katikati! Kasi yake inatisha. Sikujua kama nilikuwa namzungumzia binamu yangu! Lol! Am sorry Triplets! Nakuheshimu sana, sikuwa na nia ya kuku-insult. So sory!
 
kuna siku mtu ataleta hadithi ya SISIMIZI KAWABEBA TEMBO WAWILI....!still mtaendelea kubreinstorm ''mbeleko yake ilikuwa kubwa kiasi gani..''

heheh yap kwa sababu hiyo ndo hoja itakayokuwa ipo uwanjani. Tukitaka tusijadili mbeleko, hoja iwe ni kwa nini tusijadili mbeleko! Mpwa upo apo?
 
kuwa na tabia ya kujitegemea bibie, wasichana wengi hawapendi kujitegema. itakuweka huru na kukuongoza katika maamuzi ya busara bila msukumo wowote.

bado mdogo sana, maisha ya juu yana raha ukiyafikia kwa bidii zako mwenyewe.

suala la replacement wala si shida, itapatikana
 
I wish i could have a way to prove this out to you guys! ila furaha yangu ushauri wa great thinkers umenisaidia sana!! in some other places one has to pay for this kind of advice! Thanks again my great pals. Asanteni sana. Japo najua itakua ngumu kwa wengi kuamini ila ni ukweli mtupu. siwezi kuidanganya nafsi yangu!! Thanks again

unajua mama,
hatuhitaji thread yenye maisha yako halisi MOJA KWA MOJA!ila tunaomba thread ambayo ni PRACTICAL!inayo reflect the happenings in our real life!

just read between the lines!utaona mwenyewe
 
Jukwaa la mapenzi linafanya nione mke wangu ni wa thamani sana na nikimpotezaa nitachezea bani ya mapenzi ya life time. Mrs Nguli I love ya so much.

So Do I to my darling wife!
 
heheh yap kwa sababu hiyo ndo hoja itakayokuwa ipo uwanjani. Tukitaka tusijadili mbeleko, hoja iwe ni kwa nini tusijadili mbeleko! Mpwa upo apo?
😀
haya mwalimu
 
unajua mama,
hatuhitaji thread yenye maisha yako halisi MOJA KWA MOJA!ila tunaomba thread ambayo ni PRACTICAL!inayo reflect the happenings in our real life!

just read between the lines!utaona mwenyewe

To be sincere, am confused! Thread za mshiki huwa zinanimalizaga. Nikikumbuka ile ya I hate my boss, nikaunganisha na hii.........Hahahaha! My Lord Jesus Christ!
 
Jukwaa la mapenzi linafanya nione mke wangu ni wa thamani sana na nikimpotezaa nitachezea bani ya mapenzi ya life time. Mrs Nguli I love ya so much.

hahahahahahah!
inaonekana kabla hujaingia jeiefu mkeo ulikuwa unamwona JUST ANYBODY!?😀
 
To be sincere, am confused! Thread za mshiki huwa zinanimalizaga. Nikikumbuka ile ya I hate my boss, nikaunganisha na hii.........Hahahaha! My Lord Jesus Christ!

ushauri mwingine unakuwa mtamu na wenye mantiki kukiwa na serengeti, kili, tusker, wine, mdudu etc pembeni.

how about a get tugeza na mshiki, itifaki ikiwa imezingatiwa? then tunaweza kumove from there!
 
Lol! Unajua huu uzi nimeukuta katikati! Kasi yake inatisha. Sikujua kama nilikuwa namzungumzia binamu yangu! Lol! Am sorry Triplets! Nakuheshimu sana, sikuwa na nia ya kuku-insult. So sory!

no worries binamu, you are totally and completely forgiven..nigongee ka senksi basi
 
Back
Top Bottom