To be sincere, am confused! Thread za mshiki huwa zinanimalizaga. Nikikumbuka ile ya I hate my boss, nikaunganisha na hii.........Hahahaha! My Lord Jesus Christ!
Lol! Unajua huu uzi nimeukuta katikati! Kasi yake inatisha. Sikujua kama nilikuwa namzungumzia binamu yangu! Lol! Am sorry Triplets! Nakuheshimu sana, sikuwa na nia ya kuku-insult. So sory!
Duh, am not sure ila ni vizuri kustuka shemeji.Shem! hivi akina dr. Manyaunyau wanaijua JF?? NI SWALI TU.
hahahahahahah!
inaonekana kabla hujaingia jeiefu mkeo ulikuwa unamwona JUST ANYBODY!?π
umesomeka!Nilifikiri ungesema nilikuwa namwona antonym yake.
Back to ur qns, kabla hata ya kumfahamu mke wangu I knew her qualities.
Nilimpenda sana na ndio maana nilimwoa na nilimwona wa thamani sana ila JF ina nisababisha nitafute maana nzuri zaid ya neno wa THAMANI au wa PEKEE.
ushauri mwingine unakuwa mtamu na wenye mantiki kukiwa na serengeti, kili, tusker, wine, mdudu etc pembeni.
how about a get tugeza na mshiki, itifaki ikiwa imezingatiwa? then tunaweza kumove from there!
We acha tu nilikuwa nimempeleka mchumba kliniki. btw umekumbuka yale maembe mabichi uliyopromisi? kufika hapa nakuta peji ya 11. Dah!mpwa leo mi mpole maana nimechelewa kikao, we mwenzangu umeshakechi up anagalau
Mpwa umekula SENKSI kwa pwenti ulizomwaga hapa! Siku nyingine ukiamka vizuri unamwaga mapwenti kama mfalme Suleiman!
mpwa leo mi mpole maana nimechelewa kikao, we mwenzangu umeshakechi up anagalau
HIVI MPWA,hehe ukiona ivo ujue jana sikuwa na kikao! hahahahaha
hehe ukiona ivo ujue jana sikuwa na kikao! hahahahaha
he he he!Nachopendea vikao vyetu ni vyupa tu na kina Eliza! Havituliid kulipia dstv, fuel wala hausi alawansi!
mambo bht?π
We acha tu nilikuwa nimempeleka mchumba kliniki. btw umekumbuka yale maembe mabichi uliyopromisi? kufika hapa nakuta peji ya 11. Dah!
Nachopendea vikao vyetu ni vyupa tu na kina Eliza! Havituliid kulipia dstv, fuel wala hausi alawansi!
poa, mmh ntakuPM tuongee mambo ya kwaya unishauri (sore off topiki)
he he he!
vikao vyetu bana
juzi tumetoka kuzindua kwaya saa nne usiku tulikaa sebuleni tukaambizana tupige wani fo dhe rodi,kilichohapeni....tulipiga wani foo dhe rodi RAUNDI TANO
Si ndo uzuri wa bia huo! Haina wivu, haina bili za nyumba wala fuel cost wala di es tiivii! tehe tehe tehe
naona topik imefika mwisho...vivian uje uconclude basi ee mami
Halafu, mbona najisikia kuwa dissapointed.....Vivian, kweli ulifanya haya yote ukiwa a akili zako timamu?
huyo biyfriend unampenda hata ile ya kiuwongo?
Maadamu yeye alishaweka wazi kuwa hawezi kukuoa, huwa mnaambianaje wakati wa kumegana? (manake kuna zileI love u sijui nini)
In any case, sikushauri uachane na huyu bwana. Nakushauri ujirudi mwenyewe na:
1. Ulipe bili zako zote mwenyewe
2. Ulipe kodi ya nyumba mwenyewe
3. Ujaze mafuta gari yako maana uwezo unao
Kisha, ondoka umtake radhi huyo jamaa kwa 'kumwibia' kipindi chote hicho.
Ulizaneni dhamira zenu kwa pamoja,,,kama kwa nini haiwezekani muwe mke na mume
he he he!
vikao vyetu bana
juzi tumetoka kuzindua kwaya saa nne usiku tulikaa sebuleni tukaambizana tupige wani fo dhe rodi,kilichohapeni....tulipiga wani foo dhe rodi RAUNDI TANO