"Help! I'm Trapped In a Relationship I Don't Want to Be In!"

"Help! I'm Trapped In a Relationship I Don't Want to Be In!"

To be sincere, am confused! Thread za mshiki huwa zinanimalizaga. Nikikumbuka ile ya I hate my boss, nikaunganisha na hii.........Hahahaha! My Lord Jesus Christ!

hahahahah!
naona mpwaaaz YOU ARE NOW READING BETWEEN LINES!waambie watu unaona nini!KAMATA SENKS kwa afya yako😀
 
Lol! Unajua huu uzi nimeukuta katikati! Kasi yake inatisha. Sikujua kama nilikuwa namzungumzia binamu yangu! Lol! Am sorry Triplets! Nakuheshimu sana, sikuwa na nia ya kuku-insult. So sory!

mpwa leo mi mpole maana nimechelewa kikao, we mwenzangu umeshakechi up anagalau
 
hahahahahahah!
inaonekana kabla hujaingia jeiefu mkeo ulikuwa unamwona JUST ANYBODY!?😀

Nilifikiri ungesema nilikuwa namwona antonym yake.

Back to ur qns, kabla hata ya kumfahamu mke wangu I knew her qualities.
Nilimpenda sana na ndio maana nilimwoa na nilimwona wa thamani sana ila JF ina nisababisha nitafute maana nzuri zaid ya neno wa THAMANI au wa PEKEE.
 
umesomeka!
hebu mpigie simu max uongeze michango!😀
 
ushauri mwingine unakuwa mtamu na wenye mantiki kukiwa na serengeti, kili, tusker, wine, mdudu etc pembeni.

how about a get tugeza na mshiki, itifaki ikiwa imezingatiwa? then tunaweza kumove from there!

Mpwa umekula SENKSI kwa pwenti ulizomwaga hapa! Siku nyingine ukiamka vizuri unamwaga mapwenti kama mfalme Suleiman!
 
mpwa leo mi mpole maana nimechelewa kikao, we mwenzangu umeshakechi up anagalau
We acha tu nilikuwa nimempeleka mchumba kliniki. btw umekumbuka yale maembe mabichi uliyopromisi? kufika hapa nakuta peji ya 11. Dah!
 
Mpwa umekula SENKSI kwa pwenti ulizomwaga hapa! Siku nyingine ukiamka vizuri unamwaga mapwenti kama mfalme Suleiman!

hehe ukiona ivo ujue jana sikuwa na kikao! hahahahaha
 
Nachopendea vikao vyetu ni vyupa tu na kina Eliza! Havituliid kulipia dstv, fuel wala hausi alawansi!
he he he!
vikao vyetu bana
juzi tumetoka kuzindua kwaya saa nne usiku tulikaa sebuleni tukaambizana tupige wani fo dhe rodi,kilichohapeni....tulipiga wani foo dhe rodi RAUNDI TANO
 
We acha tu nilikuwa nimempeleka mchumba kliniki. btw umekumbuka yale maembe mabichi uliyopromisi? kufika hapa nakuta peji ya 11. Dah!

nilimpa hausi boi wenu pale geting, nilikuwa na haraka sikuingia.

hizo peji mi na nimeperuzi nimechoka sasa
 
Nachopendea vikao vyetu ni vyupa tu na kina Eliza! Havituliid kulipia dstv, fuel wala hausi alawansi!

Si ndo uzuri wa bia huo! Haina wivu, haina bili za nyumba wala fuel cost wala di es tiivii! tehe tehe tehe

naona topik imefika mwisho...vivian uje uconclude basi ee mami
 
he he he!
vikao vyetu bana
juzi tumetoka kuzindua kwaya saa nne usiku tulikaa sebuleni tukaambizana tupige wani fo dhe rodi,kilichohapeni....tulipiga wani foo dhe rodi RAUNDI TANO

😀😀😀😀Vita ni vita mura!
 
Si ndo uzuri wa bia huo! Haina wivu, haina bili za nyumba wala fuel cost wala di es tiivii! tehe tehe tehe

naona topik imefika mwisho...vivian uje uconclude basi ee mami

Nilikua kule kwa jamaa mmoja amekuja na uzi wa marrying a chagga, yaani amenichefua ningekua na mimba ingetoka. naomba kuuliza chawote Bar iko wapi? nataka tu nitie timu one day!! hope I will see you all there!
 
Halafu, mbona najisikia kuwa dissapointed.....Vivian, kweli ulifanya haya yote ukiwa a akili zako timamu?

huyo biyfriend unampenda hata ile ya kiuwongo?

Maadamu yeye alishaweka wazi kuwa hawezi kukuoa, huwa mnaambianaje wakati wa kumegana? (manake kuna zileI love u sijui nini)

In any case, sikushauri uachane na huyu bwana. Nakushauri ujirudi mwenyewe na:

1. Ulipe bili zako zote mwenyewe
2. Ulipe kodi ya nyumba mwenyewe
3. Ujaze mafuta gari yako maana uwezo unao

Kisha, ondoka umtake radhi huyo jamaa kwa 'kumwibia' kipindi chote hicho.
Ulizaneni dhamira zenu kwa pamoja,,,kama kwa nini haiwezekani muwe mke na mume

Najitolea kumpa ushauri nasaha na kumpiga injili ili aweke kwenye matendo huu ushauri mwanana wa Shemeji.La sivyo hata akipata mpenzi mwingine wa 'kumuoa' halafu ukiingia kwenye ndoa na upupu huu utawashwa na itakuwa ndoa ndoano.
 
he he he!
vikao vyetu bana
juzi tumetoka kuzindua kwaya saa nne usiku tulikaa sebuleni tukaambizana tupige wani fo dhe rodi,kilichohapeni....tulipiga wani foo dhe rodi RAUNDI TANO

Hahaha! Nasikia tukutuku lilirudi mkwa rivasi mpaka hommy!
 
Back
Top Bottom