"Help! I'm Trapped In a Relationship I Don't Want to Be In!"

"Help! I'm Trapped In a Relationship I Don't Want to Be In!"

Mzee mbona nilikushtua mapema ulisema utanijulisha lakini siku ilipo fika nikaona kimyaa nikajua kama kawa bado una confess kwa shemu nikaona bora nisikubugudhi

Hehehe! Angalizo hapo! Kupewa ruksa au?
 
Vivian

Kama umeamua kuachana naye Basi Fanya hivyo bila kuangalia alikuwa na ku finance kitu gani kwani wanasema mapenzi si fedha wala mali.

Vile2 kutokana na statics zako ni kwamba umaweza kujilipia hivyo vyote kutkna na Slip yako

Chakufanya siikiliza moyo wako na uone Future yako (Of which umeshasema),....my advice Get out of him............utapata mwingine
 
Wanawake wanachekesha sana..
Yaani unamwambia kabisa siwezi kukuoa but
kwa kuwa una pesa,bado anajishauri kuachana na wewe..
Pesa bwana,
yaani unaweza mwambia mwanamke sikupendi nakutumia tu but
bado anakunga'ngania.
 
Back
Top Bottom