Tena matakoni mwa dunia.Kabaki tu duniani 😂
Ndiio huku tz 😂Tena matakoni mwa dunia.
Hongera zao,picha Wapi mkuu?!Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.
Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uliamua kujianzianzishia uzi
Joyce Kiria yupo huku ? 🤔Hongera sana Henry Kilewo na Joyce Kiria kwa kufunga ndoa.
Kitambo Sana yupo.Joyce Kiria yupo huku ? 🤔
Aje atoe somoKitambo Sana yupo.
Ila si waliachanaNdoa na iheshimiwe na watu wote. Hongereni sana[emoji120]
Nilijua ulipewa kadi ya mwaliko ndo maana sijakuambia.cc secretarybird dadako joy aliolewa kwa sherehe na hujasema
hii ndoa ilikufa muda sana.Hali ya ndo ipoje, bado ipo au ndo mambo ya Waziri Gwajima
Duh! Watanzania noma! Kuna uwezekano siku nikisema naitwa Bonaventura JF nitakoselewa mimi mwenye jina langu na kuambiwa sio Bonaventura bali Bonaventure!Marekebisho kidogo:
HENRY KILEO.na sio KILEWO
Nawatakia kila la heri kwenye muafaka mpya wa maisha yao ya ndoa.
Hapo ndio nachokaga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kujisifia Sifia alfu pyeeeeesema huu uzi unanichekeshaga sana. yaani jamaa akajipost.