Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.

Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
Hongera mzee baba
 
Hahahahahahaaaaaa
 
Jamaa alijiandika uzi kabisa, alikuwa amezama kwenye dimbwi la mapenzi, sasa hayuko kwa Kiria wala Chadema.
 
Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.

Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
Hapa duniani, ogopa Mungu na teknolojia. By Ruge.

Kaburi bichi kabisa limefukuliwa.
 
Hivi huyu jamaa yuko wapi siku hizi😁😁😁
 
Jamaa afunge tena ndoa atapata ubwabwa wa bure chauma.
Jamaa aliingia Choo cha walemavu sio cha kike kabisa kwa kumuoa yule bi kiria
 
Back
Top Bottom