Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,545
- 7,624
Alisema kilewo akiwa mbunge shopping ๐๏ธ Dubs ๐๐๐Eti alikosa pesa za matumizi, pia alikosa kuitwa mke wa mbunge.
Alisema kilewo akiwa mbunge shopping ๐๏ธ Dubs ๐๐๐Eti alikosa pesa za matumizi, pia alikosa kuitwa mke wa mbunge.
Alikabia kwa juu ๐น๐น๐นNaona ulijipa ujiko hapa
Huko aliko akiwa ameboeka apitie uzi wake lazima achangamke kwa kucheka ๐๐๐HAHAHAHAHHAHA itakuwa we mwenyewe unakufa mbavu na hii thread.
mana dah
Wanajipakulia minyama ๐น๐น๐น๐คฃ๐Kumbe huwa mnajipogia promo humu
Acha basi ๐๐๐๐Happy anniversary
Itakuwa channel ya vichekesho mbinguni ๐น๐น๐นDuh! JF kuna vituko sana[emoji28]
Unachekaaaa ehh ๐Acha basi ๐๐๐๐
๐๐๐๐ wanajipakulia minyama aiseee!!Jamani watu kumbe wanajifagiliaga wenyewe ๐๐๐๐๐
๐๐๐๐Msela alikua anategemea pesa za ubunge alipokosa bibie akaona hawezi kuendelea kufuga marioo. Fukuzia mbali
Naona umefukua kaburi.Itakuwa channel ya vichekesho mbinguni ๐น๐น๐น
Ila si alitumia Id halisi kujisifia? Au ilikuaje? Maana ukirudi mwanzo wa uzi ni id halisi.Haya mambo ya kujianika anika kwa mbwembwe mweeee 2011 ona uzi unatrend leo 2024..bado na wajukuu wao watausoma..23people are here ,๐คฃ๐๐๐
Kaburi zito sana hili ๐๐๐Naona umefukua kaburi.
Huyu muungwana ni next level bonge la dramatic ๐๐๐Unachekaaaa ehh ๐
Ndiyo mambo ya ndoa hayo
Oca
Mwamba alifungua uzi Kwa ID ya Kibacha ikimpamba Kilewo, VAR ya JF ikawanasa kama ndugu moyaHii tabia ipo sana humu, watu wanajifungulia nyuzi kujipamba ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Alitumia kibacha mwanzoni hata ukisoma katikati ya post yake,badae wakamuunganisha ile yake halisi hahaha maajabu sanaIla si alitumia Id halisi kujisifia? Au ilikuaje? Maana ukirudi mwanzo wa uzi ni id halisi.
Ndoa mkifunga kwa mbwembweHuyu muungwana ni next level bonge la dramatic ๐๐๐
Mods hizi sasa roho mbaya. HahahaAlitumia kibacha mwanzoni hata ukisoma katikati ya post yake,badae wakamuunganisha ile yake halisi hahaha maajabu sana
Acha bwana ni huyu makasifa tuItoshe kusema NGACHOKA nimecheka mpk machozi ๐๐๐
Wanaume wa kichaga mchinjwe xmas tuwanywe supu