Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Kwa wale wote wanaolalama: mlikuwa mnataka ni waoe nyie? katika maisha kila mtu ataishi na ampendae ilimradi atie na kufuata taratibu za kisheria sambamba na kimila......... bila kuathiri uhuru wa mtu......
Sawa kaka 😂😂😂
 
huyu kilewo inaelekea Ni mbumbu hili linashangaza mtu kuileta habari kipindi hiko na kujijibu mwenyewe namshukuru mod kuunganisha I'd zote
Anajifagilia mwenyewe 😹😹
 
Napata sana mashaka na haya matusi tunayomwagiwa humu jamvini unaweza kuta ni ID ya mheshimiwa sana na anaporomosha matusi kama mpiga debe
Wapo wengi hawa waungwana mkuu 😹😹
 
Uzi wa mwaka 2011 huu, mtu kafunga ndoa kaja kujianzishia Uzi humu anasifu maharusi na harusi kumbe yeye ndio mhusika......JF inahifadhi kumbumbu.
Sema bongo movie imezaliwa kaskazini 😹😹😹
Wachaga makanjanja sana, kaona isiwe shida kaka Henry kajipa maua yake mwenyewe
 
Yeye ndio kafunga hiyo ndoa halafu anatuambia amejifunza kitu kupitia harusi hiyo.Sasa amejifunza nini kama zwazwa vile😂😂😂
😂😂😂 Huyu muungwana anaishi sayari ya peke yake
 
Back
Top Bottom