Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Huyo mrembo yupo ndoa ya ngapi?
Ye ni mwendo wa kuolewa tu

Mwanamke wa vile ni ngumu sana kuishi nae
Ujue ndoa zetu ni kama utawala flani hivi sasa mwanaume ni ngumu sana kuishi na mwanamke mjuaji kiasi kile vinginevyo utaishi nae kinyonge sana[emoji23][emoji23]
 
Cha kusikitisha zaidi hapa ni CHADEMA kujihusisha na huyu mtu. Afya yake kichwani ina walakini, his character stinks, na mengineyo mengi. Kina Mbowe waliona nini kwa huyu jamaa hadi kuwa karibu naye?
 
Mambo yao tuwaachie wenyewe 🤣
 
Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.

Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
Mpe hongera sanaaa huyo katibu wa mkoa wa kinondoni🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.

Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
huo ni uchawa
 
Cha kusikitisha zaidi hapa ni CHADEMA kujihusisha na huyu mtu. Afya yake kichwani ina walakini, his character stinks, na mengineyo mengi. Kina Mbowe waliona nini kwa huyu jamaa hadi kuwa karibu naye?
Daah 🤣🤣🤣😆
 
Back
Top Bottom