Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Hahah miaka yangu yote ya kuwepo JF sikuwahi ona huu uzi...

Nimecheka sana...

Usicheke sana ndugu yangu. Haya mambo magumu sana.

Inasikitisha sana ndoa nyingi zinapukutika siku hizi.

IMG_20220515_163520.jpg

Nimeona Watu8 nyingine nikakukumbuka ndugu yangu.
 
AHAHAHAHAH
so ulianzisha uzi bw shemeeej kwa Id nyingine.
mara paap ikawa verified !
hahhahahhahahha dah!
Mitandaoooo hiiii
 
Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.

Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
🤣😂Kumbe huwa mnajipogia promo humu
 
Asee hii ndo Own Goal
 
Back
Top Bottom