Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.

Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
Kumbe ulikuwa ni wewe
 
Watu kila siku wanavyaa suti, wao wamekuja na mtazamo mpya, kiukweli ilikuwa ni harusi nzuri sana, kwa Tanzania ni harusi ya kwanza kuwa bila MC bila keki bila ndafu watu tumejifunza kitu mimi nimmoja wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uporoto let me tell u this, kuzaa its not a deal, kuachika inategemea kaachika katika mazingira yapi, cha msingi ni kuwaombea wawe na maisha mazuri yenye fanaka na waendelee na mapambano yao katika kulisaidia taifa, wote wapambanaji! God bless them!
Mwanamke design ya kiria ni ngumu kuishi na mume.
 
Makamanda watu mizuka, wanaleta mizuka mpaka kwenye ndoa,sijui yupo wapi kamanda Kilewo.
 
Back
Top Bottom