Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Aibu yakeAlijianzishia hii thread wakati anatumia jina fake. Jamaa ni Nunda kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu yakeAlijianzishia hii thread wakati anatumia jina fake. Jamaa ni Nunda kweli.
Ulikuwepo sema ulikuwa huna connection!!!Nadhani nilikua sijaja mjini..
Kuna watu wafukunyuku huku utadhani MOSSAD kumbe wako zao hapo vingunguti machinjioni!!Hahah miaka yangu yote ya kuwepo JF sikuwahi ona huu uzi...
Nimecheka sana...
Na hivyo Sukumagang mbona utaomba uhame kabila.....😅😅Hahhaahahah.Kumbe ulikuwa unajianzishia thread Chef. Mimi siku nikiverify hii account nitawaomba wafute thread zote nilizoanzisha,wafute comments zote. Si kwa aibu hii. 😂😂😂
Kazi ipoYule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.
Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
Kila la heriYule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.
Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani, hebu tuache kidogoWatu kila siku wanavyaa suti, wao wamekuja na mtazamo mpya, kiukweli ilikuwa ni harusi nzuri sana, kwa Tanzania ni harusi ya kwanza kuwa bila MC bila keki bila ndafu watu tumejifunza kitu mimi nimmoja wao.
HahahahahahDua la kuku halimpati mwewe
Eti alikosa pesa za matumizi, pia alikosa kuitwa mke wa mbunge.Kiria alikosa nini kwa Kilewo?