Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
Kweli ni ya mfano wa kuigwa. Ingawa mimi sitakuiga bro....mama anaenda kwa luninga kushitaki baba hutimizi wajibuYule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.
Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.