Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

nahiyo ndio dhambi inayomtafuna..yaani waoa mwanamke anayefnya part baada yakuachika tena nawewe unasaport kabisa kuona mwanaume mwenzako akidhalilishwa...tehe usikute yule Dj nely bado anamchapia kimya kimya ijapokuwa walishaachana ..wanawake mashangingi yamjini hayajawahi kuwa na akili nzuri
Dj uko anachekea pembeni tu hahaha
 
nelly.jpg
Dj Nelly
 
Dj uko anachekea pembeni tu hahaha
hahaaa Dj na wapambe wake wote wanakenua meno..mkuu mfupa uliomshinda fisi binaadamu utauweza wapi ....bora yalivyomfika haya ndio akili itamkaa sawa..
mwanamke wakuolewa na Dj au wasanii
na mtu ambaye nimuungwana wapi nawapi..??
mwanamke wa Dj na wasanii mtu wa pombe na bata ndefu daily..
matumizi kwa wingi ndio zao...sasa Jamaa cjui hakuliona hilo ..akawa anafurahia kumpora mke mwenzie..watu walikuwa wanamchora tu
 
Watu kila siku wanavyaa suti, wao wamekuja na mtazamo mpya, kiukweli ilikuwa ni harusi nzuri sana, kwa Tanzania ni harusi ya kwanza kuwa bila MC bila keki bila ndafu watu tumejifunza kitu mimi nimmoja wao.
Mmmh,nahisi hapo vyuma vilikaza tangu zamani sana.vyeo vya bongo shidah!!mfukoni holla.!!![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hahaha mambo ya multiple Id's

Napata sana mashaka na haya matusi tunayomwagiwa humu jamvini unaweza kuta ni ID ya mheshimiwa sana na anaporomosha matusi kama mpiga debe

Hahaha ....Fake IDs hizi .....mtu anajifungulia uzi alafu anaanza fujo za comments ....wapi Kibachaaa ....hahaha

Huu uzi unanichkesha sn kila nikiingia na kuona aliyeanzisha ndo mhusika

Hii ndio Jf unaweza kuta hata mawaziri nao wanajianzishia mabandiko ya kujisifu kwa ID fake humu.
 
Back
Top Bottom