Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

ndio maana Bongo movie imekufa ikiwa mtu mzima kama Henry Kilewo anaweza kujiazishia uzi mwenyewe nani atanunua Movies [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]...

Ila nyie wabongo bwana.
 
nelly.jpg
Namuona hapo pastor biyonge
 
Watu kila siku wanavyaa suti, wao wamekuja na mtazamo mpya, kiukweli ilikuwa ni harusi nzuri sana, kwa Tanzania ni harusi ya kwanza kuwa bila MC bila keki bila ndafu watu tumejifunza kitu mimi nimmoja wao.
Mbona nzuri sana ,naomba ongezea nyamanyama ilifanyikafanyikaje bila mc?
 
Uzi wa mwaka 2011 huu, mtu kafunga ndoa kaja kujianzishia Uzi humu anasifu maharusi na harusi kumbe yeye ndio mhusika......JF inahifadhi kum

Uzi wa mwaka 2011 huu, mtu kafunga ndoa kaja kujianzishia Uzi humu anasifu maharusi na harusi kumbe yeye ndio mhusika......JF inahifadhi kumbumbu.
ni suala la kujisahau mkuu

Badala ya kutumia fyekelo lake la pembeni Red one akajisahau akatumia verified account yenye majina yake halisi kujisifia.
 
Back
Top Bottom