Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Ho
Hongera zao,picha Wapi mkuu?!
 
Hali ya ndo ipoje, bado ipo au ndo mambo ya Waziri Gwajima
 
Marekebisho kidogo:

HENRY KILEO.na sio KILEWO

Nawatakia kila la heri kwenye muafaka mpya wa maisha yao ya ndoa.
Duh! Watanzania noma! Kuna uwezekano siku nikisema naitwa Bonaventura JF nitakoselewa mimi mwenye jina langu na kuambiwa sio Bonaventura bali Bonaventure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…