Hepi basidei

Yaani wewe ni primary??? Kweli kadogo.
Mimi nimezinywa secondary..
Makande na juice pembeni[emoji23][emoji23]View attachment 1188159
Kama ulikua form one mm lasaba, kama nilifeli nikarudia, kama nilipita memkwa???
Btw nimepata madem sana ajili ya kwenda na hizo juice shuleni (nilikua naiba dukani kwetu)
 
Happy bday mkuu...

Uwe na miaka michache ya starehe na furaha, kuishi sana ni uoga wa kifo.

Waangalie kwa jicho la tatu wanaokutakia maisha marefu sio watu wazuri kwako
 
hahaha

Logic braza logic
 
Kama ulikua form one mm lasaba, kama nilifeli nikarudia, kama nilipita memkwa???
Btw nimepata madem sana ajili ya kwenda na hizo juice shuleni (nilikua naiba dukani kwetu)
Wakishua hawazijui hizi

Hizi ni zetu magangsta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…