hahahah
nakutumia sasa hivi nauli
Kuna Wazee Ni Wahuni Sana..
Kuna Mzee hapa Kitaani Anatembea na Vibinti Vidogo.
Kuna Jamaa Leo Akamzingua "Mzee Jana Tulikuona Na Kibinti Maeneo Flani, Tuachie na Sisi""
Mzee Akamjibu "We Umeona Jana Tu, Ukuona Juzi Nilikua na Mama Yako ?...."