Here is Everything you need to Know to Get Your First Job Offer on Upawork. Jifunze Hapa

If you don’t speak English Online freelancing is not for you.

How are you going to communicate with client if you don’t understand English?
Kwa haraka haraka naona una tatizo kubwa sana la Ku interact na jamii, You have a serious problem with communication skills, Tatua hili tatizo before its too late.

huko freelancing ni tofauti na j.forums, kiingereza unachokitumia huko freelance ni wachache wanakielewa humu tunakozungumza kiswahili, badilika kulingana na mazingira. Tafuta darasa la communication skills.
 
If you don’t speak English Online freelancing is not for you.

How are you going to communicate with client if you don’t understand English?
Nilifungua profile mwaka jana wakawa wanazingua ku verify. Nikaachana nao.

BTW nitumie njia gani niweze kuwa verified?
 
Ulianchana nao kwasababu hukufahamu unachofanya toka mwanzo.

Haukuwa na taarifa sahihi ili uongeze chances za application yako kukubaliwa.

Pia mkuu nikutoe shaka.

Ukiona umekataliwa UpWork fahamu huo sio mwisho.

You need to improve your account profile and try again.

Let me tell you this.

Sasa hivi zaidi ya watu 10,000 wanatuma maombi UpWork kujisajili kama freelancers every single day.

Na wengi kati yao hawafahamu mbinu zakuandaa profile zao ili kuongeza chance yakukubaliwa.

UpWork wanataka freelancer wenye weledi mkubwa. Lakini pia wenye Skills zilizoshiba.

Ngoja nikwambie, na ninachukulia huu kama mfano.......kwenye hii post nilisema mimi nauza huduma yangu ya translation UpWork, basi najua hundreds watakimbilia UpWork kujisajili kama translators.

Hii inatengeneza idadi kubwa ya maombi.

And guess what?

UpWork watachukua wale tu wanaodhani wapo vizuri zaidi ya wengine.

Wanafanya hivi ili kuongeza hadhi ya platform yao.

UpWork is the largest freelancing platform in the world.

Huduma zao, freelancers wanaopatika kule, kiasi cha pesa unachoweza tengeneza etc....zote hizi zinafanya UpWork wawe selective.

Sasa basi lets go to your question.

Fanya haya ili ukubaliwe UpWork.

1 • Chagua ujuzi wenye high demand.

- copy writing ✍️

- coding

- Business Writing

- voice over expert

- Facebook Advertising

- article and blog writing

- etc

Machaguo yapo mengi.

Ukiona huna ujuzi wakueleweka ingia darasa ujifunze ujuzi mpya wenge high demad.

Lakini pia kama kweli wewe ni mkali kwenye translation/transcription unaweza kurudia tena maombi ukiwa umeandaa profile yako vizuri zaidi.

Inabidi uweke profile yako katika namna ya USHINDI.

Hii kitu hawezi kuipata darasa.

You only learn from the experienced.

2 • Kama upo na documents zaku prove skills ulizonazo weka kwenye attachment.

Je, ulishawahi fanya project fulani huko nyuma na ukapewa cheti cha kukutambua?

If yes, unaweza ukaweza hiyo kwenye attachment.

Hii itakuongezea chances zakukubaliwa.

3 • Maelezo kwenye profile yako yasiwe too specific. Onyesha unaweza fanya zaidi.

Kwa mfano wewe ni translator lakini pia unaweza kutoa service ya proofreading, transcription, article writing etc

You see?

Unaongeza chances zakukubaliwa.

4 • Be authentic.

Yup.

Unajua UpWork wanachambua applications kwa njia ya software lakini pia kwakutumia wafanyakazi wao (kila inapobidi)

Wanataka kuwa na uhakika zaidi kila freelancer wanaomkubali.

Kwahiyo hapa inabidi usiwe mtu waku copy kila kitu kwenye profile yako.

Mtu mwenye akili akisoma profile yako anajua tu unajaribu kudanganya.

Dawa yake hapa ni kuwa authentic.

5 • Jaribu tena na tena kutuma maombi.

Unajua nini.

Wanaotaka kufanikiwa katika jambo fulani hawakubali kushindwa.

Ukikubali defeat ya kwanza na ukaamua ku-give up hiyo inamaanisha you are not a SOLDIER.

Anayetaka haachi mpaka akipate.

Now it’s time you decide.

Are you going to put this advice into work?
 
- copy writing ✍

kwa miaka ya 'sasa' Upwork hawachukui tena, ila kuna 'loophole' katika mchakato wa kujisajili, unapenya na kua 'approved' ndani ya dk. 10 tu ( wahindi wamegeuza hii kua fursa ) , ila kiukweli Upwork siikubali wana fee kubwa mno

nipo active sana freelancer.com, guru na Fiver
 
Mimi sifuati short cuts.

Lazima uwe authentic kwenye mambo yako.

Maombi yako hayakubaliwi kwasababu ujuzi unaotaka kuutoa kila mtu anao UpWork.

Pia kama UpWork wamekukataa that doesn’t mean its the end of the world.

You can try Fiverr, Guru, Freelancer dot com, and so many other.

You need to know what you are doing first.
 
wala usimfanye mwenzako asumbuke, Upwork wamesitisha ku approve new profiles

Hawajasitisha ndiyo maana unaweza kufanya application.

Uwe unaelewa vizuri.

If they find the marketplace does not have opportunity for your skills combination your application won’t be approved.

UpWork wanataka watu wenye talents tofauti si kila mtu anataka kuwa transcriber au translator.

Au mpaka nikuwekee maelezo ya UpWork?
 
Sifahamu watu wanakosea wapi.

Binafsi napata almost kila kazi nayo apply.

Leo nimepata deal ya kupiga kazi kama Over the Phone Interpreter for 6+ months

UpWork for me is the best freelance platform.

IMG_6051.JPG
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwa asilimia 80, nimekuwa mfuatiliaji wa upwork na mitandao mingine kwa muda sasa (miaka kadhaa), hela ipo sana tu, upwork ni kati ya platform ninazozikubali sana ila bahati mbaya sijawahi kuwa approved hata baada ya kuedit profile zaidi ya mara 10 tena nikipitia profile za magwiji ili kuboresha yangu lakini hola... Mwishowe nikadokezwa na wadau kuwa Upwork no longer approve new profile applications...

Sasa kama umefikia hatua ya kukataa kazi ndogondogo, unaonaje ukiniuzia hizo kwa makubaliano fulani as we improve our local network...

My wish is to make online deals as my new source of reliable income. Karibu.
 
Mkuu unaweza fungua account kwenye site nyingine kama Freelancer au Fiver au Guru au SEO Clerk

Shida siyo kuwa na account.

Wapo wengi tu na account zao UpWork miaka lakini hakuna client aliyejibu proposal zao.

Ukiwa na right skill to get attention of client you are good. Hata kama iwe jukwaa gani.

Baada ya siku chache nitakuja na proof kuonyesha it is possible to make money on Fiverr and Freelancer as well.

Pia nikukumbushe tu iwapo upo na high demand skills UpWork hawawezi kataa application yako.

Kuhusu ku-outsource kazi kwako?

That is very risk for me.

I don’t know your capabilities. I don’t know what skill set you have??

Mimi ni Over the Phone Interpreter, Voice Over Artist, Translator, Proof reader, Sale Writing expert.

Je, kuna skill set upo nayo hapo?
 
So far, Jana tu nimefungua account na Leo umekuwa authorized. Iko live kabisa na nishaanza kutupia proposal. Nashangaa wanaosema Upwork hawapokei new freelancers!

Hongera mkuu.

Kama utakuwa unashindwa kupata job offer wasiliana nami.

I will teach you some tricks on how to write good proposal that will land your first offer.

You can trust me on this
 
Back
Top Bottom