Here is Everything you need to Know to Get Your First Job Offer on Upawork. Jifunze Hapa

Here is Everything you need to Know to Get Your First Job Offer on Upawork. Jifunze Hapa

Kaka nakushukuru sana leo unabadilisha Mind yangu kwa kila uzi nilioupitiaa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Natamani sana kufanya hiz mambo online lakin nakosa mentor napenda haya mambo

Nitafute nitakupatia mentorship.

Nitumie ujumbe kwenye Email yangu
 
Mkuu binafsi nipo freelancer.com but kuna kitu huwa kinanitia shaka na kazi ninazopataga. Yaani kuna kazi unaweza pewa na kuhitajika kulipia dollar kadhaa kama refundable fee kisha baada ya kazi ndipo unarejeshewa hicho kiasi. Vp mkuu kutokana na experience yako au kwa mtu yeyote hii kitu ya kulipia kwanza dollar kadhaa ndo upate kazi hiyo ukamilishe then ndo uje ulipwe ina uaminifu wowote maana katika tafuta zangu kuna bahadhi ya freelancer walikuwa wanalalamika kwa mfano kuna bahadhi katika platform ya Quora hii kitu wanaiona kuwa ni namna ya utapeli. Naomba muongozo kwa yeyote mwenye uzoefu na hili wakuu
KIMBIA MARA MOJA
 
KIMBIA MARA MOJA

Hautakiwi kutozwa pesa yoyote ili upate kazi.

Kwanini watu wanashindwa mambo ya wazi hivi?

Sometimes huwa na question Intelligence ya watu katika kufanya maamuzi.

Ukiwa na utashi wakupambanua mambo hutoweza kuibiwa.

Unachotakiwa kufanya ni kuuliza maswali sahihi.

Jamani, tujifunze kuwa werevu kuweza kupambanua mambo.
 
Hautakiwi kutozwa pesa yoyote ili upate kazi.

Kwanini watu wanashindwa mambo ya wazi hivi?

Sometimes huwa na question Intelligence ya watu katika kufanya maamuzi.

Ukiwa na utashi wakupambanua mambo hutoweza kuibiwa.

Unachotakiwa kufanya ni kuuliza maswali sahihi.

Jamani, tujifunze kuwa werevu kuweza kupambanua mambo.
Habari mkuu! I'm a College student, Nimevutiwa sana na Upwork & online freelancing. You inspired me alot, I will contact you to take me through if possible.
Stay blessed!
 
Kila mara ninapo apply kazi lazima nijibiwe.

Do you know why?

Because I know how to catch attention of clients.

Angalia hii nili apply jana.

The pay is $1,000

IMG_6481.JPG
 
Hongera mkuu.

Kama utakuwa unashindwa kupata job offer wasiliana nami.

I will teach you some tricks on how to write good proposal that will land your first offer.

You can trust me on this

Kuna proposal nilituma about a week ago, Leo jamaa amenijibu anataka sampuli ya kazi yoyote niliyokwisha fanya ya uandishi kwa lugha ya Kiswahili bila kujali ni mada gani! Nimemjibu and I am waiting to see..!
 
Kwa hapa sina nyongeza. Hata humu wengi wamefunga PM zao hata ukiwapm hawakujibu. Ila uzuri vitu vingi vipo online ni suala la kujua lugha na kitu gani unatafuta.
.
Changamoto inapokuja ni kwamba wabongo wengi wanaofanya hizi online works (ukiachana na forex) ni wachoyo wa ramani na kuna baadhi yao wanadanganya kuwa wanaingiza pesa mtandaoni ili wapate wanafunzi wataolipia ada ya darasa kumbe wao kama wao hawajawai kuingiza hela katika kile wanachofunidisha, ukitaka kuwajua ulizia ushahidi wa hela waliyoingiza na miamala ya kutoa hizo pesa, wengi huishia kubwabwaja maneno.
 
Back
Top Bottom