Here is Everything you need to Know to Get Your First Job Offer on Upawork. Jifunze Hapa


what's your email boss?
 
Upwork bwana nilijaribu kufungua account mwaka jana. Ila walikataa ku approve account. Nika edit twice still hawaku approve. Nikaachana nao.

Kabla ya hapo nilijiunga na Proz.com as a legal translator. Hadi leo hii clients huwa wananicheki kama niko available for their projects. Sema sijawahi kuwa serious nayo sana..so i never even reply their mails. Sometimes napewa translation job offer hadi za kizigua..ha ha ha.

Hili andiko lako limeniamsha na kunikumbusha kuwa kuna fursa ninazipuuzia but nikiwa serious naweza tengeneza pesa. I know a guy ambaye anaishi na familia yake just for doing translations online.
 
Job offers kama hizi nazipata sana. Nadhani sasa ngoja niweke mambo sawa ili nianze kuzifanyia Kazi.
 

Attachments

  • 20191007_125548.jpg
    47.1 KB · Views: 3

Hebu nisaidie how does Shopify work ?
 

Hongera.

Hiyo ni experience poa sana.
 
Yes kidogo
Sasa nikishapata wateja payment ni via paypal?na je shipping who is responsible
Sorry kuna kitu bado sijakielewa kuhusu hii kitu

Mkuu huu uzi ni wa Online Freelancing.

Sorry sitoweza kujibu hapa
 
Kuwa Online Freelancing haimaanishai unaenda kuwa tajiri.

Lakini utaweza kutengeneza side income itakayokusaidia kulipia bills zako.

Online Freelancing inaweza fanywa na watu walio kwenye ajira tayari lakini wanatafuta source nyingine ya income.

Unarudi zako home baada ya kazi unapumzika kidogo halafu baada ya hapo unaingia mtandaoni unapiga kazi.

Ni njia nzuri sana yakukuza si tu kipato chako bali pia kunoa Skills zako
 
Mkuu binafsi nipo freelancer.com but kuna kitu huwa kinanitia shaka na kazi ninazopataga. Yaani kuna kazi unaweza pewa na kuhitajika kulipia dollar kadhaa kama refundable fee kisha baada ya kazi ndipo unarejeshewa hicho kiasi. Vp mkuu kutokana na experience yako au kwa mtu yeyote hii kitu ya kulipia kwanza dollar kadhaa ndo upate kazi hiyo ukamilishe then ndo uje ulipwe ina uaminifu wowote maana katika tafuta zangu kuna bahadhi ya freelancer walikuwa wanalalamika kwa mfano kuna bahadhi katika platform ya Quora hii kitu wanaiona kuwa ni namna ya utapeli. Naomba muongozo kwa yeyote mwenye uzoefu na hili wakuu
 
kwawale dilaz wa microworkerz naomba msaada kwnye sms confirmation plz
 
Umeongeaa Point Bro kiukweli Fursa zipo kibao sana tunakaliaa kufatiliaa udaku tuu mara connection ujinga tuu na huo mchana mtu hujui utakula nini
Pia swala la forex mwenye nimechek wengi kibongo bongo kelele nying kiukweli yaan mtu atakwambiaa anapiga mpunga fx lakin huon maendeleo yake na ankomaa kukushawish utoe hela ili akufundishe au amenej acc yako
 
Kaka nakushukuru sana leo unabadilisha Mind yangu kwa kila uzi nilioupitiaa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Natamani sana kufanya hiz mambo online lakin nakosa mentor napenda haya mambo
 
Suree mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…