GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,657
- Thread starter
-
- #61
Kaka nakushukuru sana leo unabadilisha Mind yangu kwa kila uzi nilioupitiaa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Natamani sana kufanya hiz mambo online lakin nakosa mentor napenda haya mambo
KIMBIA MARA MOJAMkuu binafsi nipo freelancer.com but kuna kitu huwa kinanitia shaka na kazi ninazopataga. Yaani kuna kazi unaweza pewa na kuhitajika kulipia dollar kadhaa kama refundable fee kisha baada ya kazi ndipo unarejeshewa hicho kiasi. Vp mkuu kutokana na experience yako au kwa mtu yeyote hii kitu ya kulipia kwanza dollar kadhaa ndo upate kazi hiyo ukamilishe then ndo uje ulipwe ina uaminifu wowote maana katika tafuta zangu kuna bahadhi ya freelancer walikuwa wanalalamika kwa mfano kuna bahadhi katika platform ya Quora hii kitu wanaiona kuwa ni namna ya utapeli. Naomba muongozo kwa yeyote mwenye uzoefu na hili wakuu
KIMBIA MARA MOJA
Habari mkuu! I'm a College student, Nimevutiwa sana na Upwork & online freelancing. You inspired me alot, I will contact you to take me through if possible.Hautakiwi kutozwa pesa yoyote ili upate kazi.
Kwanini watu wanashindwa mambo ya wazi hivi?
Sometimes huwa na question Intelligence ya watu katika kufanya maamuzi.
Ukiwa na utashi wakupambanua mambo hutoweza kuibiwa.
Unachotakiwa kufanya ni kuuliza maswali sahihi.
Jamani, tujifunze kuwa werevu kuweza kupambanua mambo.
Habari mkuu! I'm a College student, Nimevutiwa sana na Upwork & online freelancing. You inspired me alot, I will contact you to take me through if possible.
Stay blessed!
Hongera mkuu.
Kama utakuwa unashindwa kupata job offer wasiliana nami.
I will teach you some tricks on how to write good proposal that will land your first offer.
You can trust me on this
Mkuu bac itakuwa umepitwa na faida nyng sn kutoka JFLeo nimesoma thread yenye faida hapa JF kwa mara ya kwanza
.
Changamoto inapokuja ni kwamba wabongo wengi wanaofanya hizi online works (ukiachana na forex) ni wachoyo wa ramani na kuna baadhi yao wanadanganya kuwa wanaingiza pesa mtandaoni ili wapate wanafunzi wataolipia ada ya darasa kumbe wao kama wao hawajawai kuingiza hela katika kile wanachofunidisha, ukitaka kuwajua ulizia ushahidi wa hela waliyoingiza na miamala ya kutoa hizo pesa, wengi huishia kubwabwaja maneno.