Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Soma pia kuhusu neocolonialism na kwanini tunatumia teckonolojia zao na kila wakisasisha hizo tekinolojia, (technology), tunaenda tena kusomaUhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Kalogwa huyo.Nani kakudanganya mpo huru?
Wewe ni kawaida yako/unayo kwenye DNA kuunga mkono miujinga yoyote ukipewa kapelo na kanga ujifunge kibwebwe.naunga mkono hoja kwa asilimia 100
Umeingia lini JF?Wewe ni kawaida yako/unayo kwenye DNA kuunga mkono miujinga yoyote ukipewa kapelo na kanga ujifunge kibwebwe.
Kama Kuna kiongozi anaedhani haiwezekani bila misaada yao atupishe. Sisi tunafahamu Magharibi wana watu wao huku, maana kunguru hana kibyongo. Tuachane na Kila aina ya misaada anayotweza Uhuru wetu wa kujiamulia. Tunaweza kuhamia uchina na Afrika humuhumu. Na ukishajua huna mjomba utaacha kudeka.Ukiweza kujitegemea ndio unakuwa na maamuzi/kauli. Bajeti yenyewe asilimia 60/70 ni misaada kutoka kwa mabepari, achana na hizo chanjo na misaada miingine wakichomoa nyaya utaweza kufunga mkanda? Boss hanuniwi mbwa wewe
Viongozi wetu hawakusanyi kodi ipasavyo. Watu wachache sana wanalipa Kodi. Kwenye bodaboda tu unaweza kupata pesa ya kununua madawati nchi nzima, kwa machinga tu unaweza kupata pesa ya kununua dawa hospital zote za umma.Ukiweza kujitegemea ndio unakuwa na maamuzi/kauli. Bajeti yenyewe asilimia 60/70 ni misaada kutoka kwa mabepari, achana na hizo chanjo na misaada miingine wakichomoa nyaya utaweza kufunga mkanda? Boss hanuniwi mbwa wewe
Kwahiyo unataka serikali itengeneze toothpicks? Hata huko China sio serikali inayotengeneza toothpicks, kwanini wewe usitengeneze na kutuuzia, badala yake miti ya kutengeneza toothpicks unachoma mkaa.Waya wa umeme umeenda mbali sana. Ardhi ipo mambonde ya kulima miwa yapo. Kuna ardhi kwaajili ya kilimo cha mahindi na mpunga. Ipo misitu ya kutosha binafsi na ya serikali Kama ule wa mafinga.
Vipi upatikanaji wa Sukari
Mchele je?
Tooth picks tunajivunia toka china
Karatasi je
Ndio tuseme hatuitaki msaada toka kwa mtu anaetuelekeza kuwa tusiumizane?
Ulaya watusaidie kwanza kutatua shida wacongo, DRC, Sudan, Somalia, Ethiopia, Ukraine, Palestine, Sahel na Libya kabla ya kutaka kutatua shida za watanzania. Tutawashukuru sana.Yaani wewe shida yako tu umkamate Lissu baasi na umuue Kitima?
Swali la kijinga.Umezaliwa mwaka gani?Umeingia lini JF?
Uhuru wa kutekana na kupotezana sio? Au uhuru wa kubambikia watu kesi?Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Ni ujamaa na kutegemeaUjamaa na Kujitegemea
Shida sio walipa kodi. Shida inaanzia kwa wakusanya hizo kodi. Wanazifanyia nini? Au wanajigawia kwa urefu wa kamba zao?Viongozi wetu hawakusanyi kodi ipasavyo. Watu wachache sana wanalipa Kodi. Kwenye bodaboda tu unaweza kupata pesa ya kununua madawati nchi nzima, kwa machinga tu unaweza kupata pesa ya kununua dawa hospital zote za umma.