Fauya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 316
- 578
Kipindi Trump ametangaza kusitisha misaada hususani misaada ya dawa za kufubaza makali ya virusi vya Ukimwi roho iliniuma sana kwakua nilikua nmetoka kutembea na mdada mwenye nao ila nikawa sitaki kupima nikihofia majibutangu mwezi October 2024 lakini juzi tarehe 8 nimepiga moyo konde na nikapima nikakutwa Sina maambukizi namshukuru sana Mungu na nimeamua niache uzinzi na ikitokea nmefanya basi nitatumia Kinga.