Heri tukose misaada kuliko kuamrishwa nini cha kufanya na Ulaya

Heri tukose misaada kuliko kuamrishwa nini cha kufanya na Ulaya

Uliona wapi Rais akizuia uchaguzi usifanyike? Ni nchi Gani hiyo duniani?

Ni heri ya kutoka jasho nyingi wakati mambo hayajaribika ili kuepusha kutoa damu nyingi wakati mambo yakishaharibika. Ni heri kuzima cheche kabla moto haujawaka. Watupishe aloo.
Sasa hizo nchi zinaahirishaje Uchaguzi wakati wana mifumo mizuri ya Uchaguzi inayotoa haki sawa kwa vyama vyote vinavyoshiriki?
Lakini na hawa Wanaotekwa,Kupotezwa na kuuawa tu kwa sababu wameukosoa utawala?
Hatuwezi kufa njaa au kukosa misaada kwa sababu ya Watu wachache wenye uchu wa kubaki madarakani kwa damu za wananchi!
 
Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.

Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
 
Tangu uupate huo uhuru kuna kipi cha maana ambacho umeshafanya mpaka usitake tena kupangiwa cha kufanya?..

Pumbavu.
Mungu akusamehe. Hivi hao wanatupa misaada au wanaturejeshea kidogo kutoka kwenye kile wanachotuibia?
 
Utakufa njaa mdogo wangu. Kwakuw mmeshindw kusimamia vtu acha msimamiwe
 
Sasa hizo nchi zinaahirishaje Uchaguzi wakati wana mifumo mizuri ya Uchaguzi inayotoa haki sawa kwa vyama vyote vinavyoshiriki?
Lakini na hawa Wanaotekwa,Kupotezwa na kuuawa tu kwa sababu wameukosoa utawala?
Hatuwezi kufa njaa au kukosa misaada kwa sababu ya Watu wachache wenye uchu wa kubaki madarakani kwa damu za wananchi!
Rwanda na Uganda Kuna mifumo Gani inayotoa majibu halali ya uchaguzi? Trump anadai aliibiwa kura na Biden mbona hawakufiuta uchaguzi? Trump alinusurika mara 3 kuawa wakati wa kampeni mbona uchaguzi haukusitishwa ili wafanye uchunguzi na Wala ulaya hawakutoa neno? Tuache kuwa vikaragosi vya Magharibi.
 
Mungu akusamehe. Hivi hao wanatupa misaada au wanaturejeshea kidogo kutoka kwenye kile wanachotuibia?
Pesa za ndani CAG kasema mnaziiba zote kila kona mnaiba na pesa zote mnazitumia kwenye matendo haramu ya kishetani kuwabambikia kesi chadema kuwatumia Polisiccm kupiga wapinzani
 
Me naona Kwa ukandamizaji huu, Misaada ipigwe pin tu
Hiyo ni lugha ya kibaraka. Hata Nabii Suleiman angemuuliza kuhusu hilo angekwambia huna nia njema na taifa na watanzania. Vikwazo vinawatesa raia kuliko viongozi. Maduro, Mugabe/Mnangagwa, Putin, Iran, nk Kuna vikwazo lukuki mbona viongozi wanadunda tu?
 
Rwanda na Uganda Kuna mifumo Gani inayotoa majibu halali ya uchaguzi? Trump anadai aliibiwa kura na Biden mbona hawakufiuta uchaguzi? Trump alinusurika mara 3 kuawa wakati wa kampeni mbona uchaguzi haukusitishwa ili wafanye uchunguzi na Wala ulaya hawakutoa neno? Tuache kuwa vikaragosi vya Magharibi.
Pesa zako na makusanyo ya kodi toka TRA zote mnazikwiba mnazitumia kudhoofisha chadema kununua G55 kufanya mambo ya hovyo yasiyo na tija
 
Hiyo ni lugha ya kibaraka. Hata Nabii Suleiman angemuuliza kuhusu hilo angekwambia huna nia njema na taifa na watanzania. Vikwazo vinawatesa raia kuliko viongozi. Maduro, Mugabe/Mnangagwa, Putin, Iran, nk Kuna vikwazo lukuki mbona viongozi wanadunda tu?
Huo mfano ndiyo unawapa ccm kuiba pesa za walipa kodi kodi kisha kwenda kuzitumia kwenye mambo ya hovyo ilikwemo kukandamiza demokrasia kuwabambikia kesi kuwateka na ujinga mwingi
 
Pesa inayotumika kuidhoofisha kuua chadema ni nyingi sana ni pesa ingeweza kujenga hospital za rifaa kila mkoa na maendeleo mengi zaidi , mfano sasa G55 na mbowe wanakula pesa nyingi toka madalali wa siasa tokea ccm ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
 
Mbowe na kikundi chake wanavuna pesa za ccm kama mvua ni kipindi cha wasariti wa chadema kuwachuna buzi
 
A donkey was tied to a tree. The devil came and untied it.

The donkey went into a neighbor’s field and began eating everything—green and dry.

The farmer’s wife saw the donkey and took out her rifle and shot it.

The owner of the donkey heard the gunshot, and when he saw his donkey was killed, he got angry and shot the farmer’s wife.

When the farmer came back and found his wife dead, he took his rifle and killed the donkey’s owner.

The son of the donkey’s owner returned, saw his father dead, so he killed the farmer and his eldest son.

Then the family of the farmer took up arms and attacked the donkey owner's house. They killed everyone and burned down whatever they could reach.

When the devil was asked: “What did you do?”

He replied: “Nothing… I just released the donkey.”

Moral:

If you want to destroy a nation,

"just release the donkeys."
 
Uhuru wetu utakuwa mashakani
Uhuru gani wa kuuwa kupotezwa na kupiga viongozi wa dini na watu? Halafu unataka Dunia ikuache tu.
mawaaazoo-pic.jpg
ben+saananee.jpg
kibao.jpg
soka-e1724250077267-1024x968.jpg
mdude.jpg
Vg47I7HR9FK68INB.jpg



Huu sio UHURU tulioutafuta bora hata Wakoloni weupe.
 

Inasikitisha sana. Haya mashetani CCM, damu za hawa watu wasio na hatia zinawalilia kwa Mungu wetu. Laana ya damu za hawa wanadamu wote iwe juu ya watawala mashetani wa Tanzania na mashetani yote yanayowaunga mkono, akiwemo mleta mada.
 
Back
Top Bottom