Heri tukose misaada kuliko kuamrishwa nini cha kufanya na Ulaya

Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.

Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Tukose misaada wakati tuna rais aliyeishia form four tutatoboa ?
 
Umeongea hupuuzi sana hata kutengeneza waya wa umeme hunakushida alafu unategemea elimu zao,teknolojia na afya

Kwa hiyo wewe ukisaidiwa na mtu anaweza kukufanya lolote na chochote?
 
Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.

Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.

Ungekuwa unalipa Kodi serikali ingekusikiliza

Lakini kama walipaji wa Kodi ndio hao hawafiki milioni 3 unachoongea hukielewi.
 
Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.

Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Unaongea kwenye keyboard, kesho tu utaona mtu huyo Ulaya kwenda kuwaomba washirika wa bajeti
 
Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.

Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
ni kwel kutegemea misaada ni kitu kibaya.. ila kwa nchi zetu za ki africa ,cnazani inaweza chukua miaka 1000 mbele kuanza kujitegemea wenyeww...

imagine, wabunge ambao wanatunga sheria za kodi, wao wenyewe hawazitaki.. mfano wabunge hawalipi kodi, wala nssf...
 
Hatuwezi kunyimwa misaada kwasabb ya genge la watawala tena wachache tu wanaong'ang'ania madaraka!
Weka uchaguzi uwe huru na wa haki...acheni ujinga!
 
Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.

Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Wamekusikia weka na namba yako ya simu watakutafuta.
 
Huna akili kweli wewe... Tushachelewa
Wewe ndio hunazo. Ulaya walinde nchi zao na Tanzania ilinde nchi yake. Usalama ni muhimu kuliko misaada mbuzi. Wanakupa sh 10 halafu wao wanachukua sh 1000. Yaani mkoloni atuambie sisi tufanye nn kwa watu wetu kama vile hawajui Israel inafanya nn Gaza. Ulaya hawana cha kutufundisha sisi.
 
Sawa mzalendo uchwara....unadhani kuendesha nchi ni rahisi sana haswa hizi nchi masikini . ...Tanzania uchumi wetu ni ngumu bila kutegemea mikopo na misaada bibie..
 
Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.

Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Hatutaki hivyo tutumie akili ili tusielekezwe cha kufanya.
 
Huna heshima kwa mkuu wa nchi nawewe ...we uliyeishia chuo cha kilimo Sua una nini cha zaidi labda cha kulifanyia taifa lako?
Mimi nina heshima ninaongea ukweli angekuwa anajiheshimu na anajijua kaishia form four angekaa pembeni
 
Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.

Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Leo umeomba na kupewa risit za EFD mara ngapi?
 
ISSUE SIO VIKWAZO ISSUE NI SABABU ZA KIJINGA ZINAZOFANYA TUWEKEWE VIKWAZO.

YAANI UNAWEKEWA VIKWAZO KWASABABU TU UMESHINDWA KUWA NA FAIR AND FREE ELECTION, AU KWASABABU TU UMESHINDWA KUWEKA EQUAL POLITICAL GROUND KWA VYAMA VYOTE VYA SIASA.
 
Hakuna watu wanaotupiga kama wanasiasa, lakini cha kushangaza, ndiyo walioaminiwa kusimamia issues za maana
 
Sawa mzalendo uchwara....unadhani kuendesha nchi ni rahisi sana haswa hizi nchi masikini . ...Tanzania uchumi wetu ni ngumu bila kutegemea mikopo na misaada bibie..
Kama ni mikopo aaaah iyo sana, hata Marekanani Ina madeni makubwa tu kutoka China, imekopa, Ina deni. Deni ni zuri kuliko msaada.
 
Umeongea hupuuzi sana hata kutengeneza waya wa umeme hunakushida alafu unategemea elimu zao,teknolojia na afya
Kwahiyo serikali ya uingereza ndio yenye kiwanda cha kutengeneza waya wa umeme? Huna ulijualo zaidi ya mkumbo. Kagame kapiga marufuku vya vya upinzAni na yuko madarakani kwa zaidi ya miaka 30, lakini anatangaza Visit Rwanda kwenye jezi za timu za Magharibi.
 
Back
Top Bottom