BabuFey
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 2,943
- 4,707
Acha ujinga wanapata matatizo Iran,Korea na Venezuela seuze Moja ya nchi masikini zaidi duniani itwayo Tanzania?Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Shule mlienda kujifunza ujinga?