Heri tukose misaada kuliko kuamrishwa nini cha kufanya na Ulaya

Na bado! Maandiko yamebainisha kuwa Ulaya itatawala dunia siku za mwisho. Kwa hiyo kama walivyokuja kugawa maeneo na kutuundia nchi, ndivyo hivyo watatutawala ktk nyanza zote! Mwishowe watatuchagulia viongozi.
 
CCM hawako tayari kuikosa misaada ni bora mfirwe.
 
Kama mna akili za kuteka na kutesa wananchi wengine hizo akili za kujitegemea mtatoa wapi
Au hujui haki huinua Taifa
Haki ipi unaizungumzia? Hata Israel wanategemea mabomu zaidi kuliko Mungu, kule Marekanani Rais Trump alitaka kuuawa, haki gani na Iko wapi?. Traore anahangaika na watu wake mbona wazungu wanamzonga? Nani alimuua Gaddafi?

Upuuzi kwenye amani ya nchi ni kitu kibaya sana. Huwezi kupiga kampeni Wala kuandika Katiba mpya kama amani hakuna watu ni wakimbizi au wamejificha porini. Tuache vimbizi.
 
Kama mna akili za kuteka na kutesa wananchi wengine hizo akili za kujitegemea mtatoa wapi
Au hujui haki huinua Taifa
Kila anaetekwa ana jambo baya kafanya. Mbona wewe hukutekwa? Mbona babu Yako amezeeka bila kutekwa? Mbona Bakheresa yupo hajatekwa, Ndugai je?

Formula ni kuwa toa kinyama kinachotoa harufu mbaya kwenye mfuko wa koti lako uone kama inzi wataendelea kukufuata.
 
Na bado! Maandiko yamebainisha kuwa Ulaya itatawala dunia siku za mwisho. Kwa hiyo kama walivyokuja kugawa maeneo na kutuundia nchi, ndivyo hivyo watatutawala ktk nyanza zote! Mwishowe watatuchagulia viongozi.
Zama hizi hakuna akina mangungo bali wapo makuwadi wao wazawa.
 
Kwani huko ulaya uwa mnaitwa si njaa zenu izo mnazoendekeza nawaambia na bado, huwezi kula vya Watu afu uwapangie chakukwambia.
 
Ndiyo maana tunasema uhuru wetu una maana kuliko kuliko kulazimishwa nani aende Ikulu na nani abaki kwanza. Kuzuiwa misaada ni shinikizo la tuachane na mila, desturi na namna yetu ya kujitawala tuliyoiziea. Kubali ushoga la sivyo tunasitisha misaada; shenzi taipu, hatutaki hiyo.

Afrika tunatawaliwa na madikteta lakini ulaya hawasemi kitu kwakuwa ni watu wao. Unataka kusema Samia ni mbaya kwa demokrasia kuliko kagame na Museveni?
Kwani huko ulaya uwa mnaitwa si njaa zenu izo mnazoendekeza nawaambia na bado, huwezi kula vya Watu afu uwapangie chakukwambia.
 
Umeongea hupuuzi sana hata kutengeneza waya wa umeme hunakushida alafu unategemea elimu zao,teknolojia na afya
'hupuuzi'
'hunakushida'
'alafu'

Kajifunze kwanza lugha
 
Kwanza umekula? Na una uhakika wa kula milo3 adi4 kwa siku

Fanya mpango wa kula kwanza mambo mengne ni makubwa kuzidi uwezo wako wa kuwaza na kufikiri.

Focua kwenye kutafta chakula ndo kitu pekee unaweza.
 
sasa basi jeshi na mahakama visiwepo kama solution ni kuteka watu
 
Hicho kinyama kinacho nuka kitoe kupitia mahakama huru wote tutoe maoni. kutoa kupitia utekaji ni bora mabeberu waingilie kati japo si sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…