Heri Udikteta Kuliko Maigizo ya Demokrasia

Huo huo wizi ndio safi maana inakupa chance ya kusogeo kuliko kuishi kama jela wakati uko mtaani ,ikiwa hivyo si Bora ufe tuu yaani uwe unafungwa na kuamuliwa utu wako?
Chagua either unafungwa (which is very bad) au unafungwa alafu unaambiwa upo huru - ukibisha kwamba mbona najiona sipo huru, wanatumia pesa zako kukushawishi kukulaghai kwamba upo huru na kukwambia mbona sisi tuna-smile kama hatupo huru (which is worse)
 
Huo huo wizi ndio safi maana inakupa chance ya kusogeo kuliko kuishi kama jela wakati uko mtaani ,ikiwa hivyo si Bora ufe tuu yaani uwe unafungwa na kuamuliwa utu wako?
Haya mambo inategemea tu Africa kuna democracy gani sasa, dokta ulimboka alinyofolewa meno kulikua na udikteta si Hiii mnayo ona democracy, yani Democracy uchwara ya wezi kuachwa na matajiri kutofungwa maskini kufa na kusombwa magerezani ndani ya iyo iyo tunayo ona demokrasia amna haki, yawezekana ata uko libya wakati wa dicteta walipata haki mahakamani sio bongo panapo itwa pana demokrasia.
 
Siishi hewani Bali mtaani,sihitaji kuambiwa Bali naona mwenyewe.

Ushahidi ni humu jf mnavyotukana,mtaani mnafanya mikutano hiyo hiyo ya maigizo nk.

Bora watumie pesa kwenye propaganda kuliko kutumia bunduki.
 
Ndio maana ya partial democracy hutakiwi kuvuka mstari.Unaambiwa andamana ila njoo tuzungumze hutaki Sasa ulitaka wamchekee? Hata Kwenye Demokrasia hakuna ujinga kama huo.
 
Tatizo ni CCM
 
Ndio maana ya partial democracy hutakiwi kuvuka mstari.Unaambiwa andamana ila njoo tuzungumze hutaki Sasa ulitaka wamchekee? Hata Kwenye Demokrasia hakuna ujinga kama huo.
Mstari gani mtu alikuwa anasimamia kweli ya mdaktari ambayo ni wajibu wa serikali, hakuna uhuru hapo, ni kivuli kilichofunika wachache na kuwaacha weengi juani, mfumo wa serikali ya iran ama China ni far better kuliko hii demokrasia ya Africa .
 
Kwani Wafanyakazi wako wakigoma ukawaambia rudini kazini njoo tuyajenge Wenyewe wanasema haturudi tuyajenge hapa hapa utaendelea kuwaacja waharibu Mali Yako?
 
Siishi hewani Bali mtaani,sihitaji kuambiwa Bali naona mwenyewe.

Ushahidi ni humu jf mnavyotukana,mtaani mnafanya mikutano hiyo hiyo ya maigizo nk.

Bora watumie pesa kwenye propaganda kuliko kutumia bunduki.
Udikteta ni Bunduki ?
Sasa ngoja nikwambie worse than huo Udikteta wa Bunduki ni pale ambapo bunduki inatumika alafu unaambiwa kwamba hazitumiki and all is well (tena kuambiwa huko ni gharama kwa gharama ya pesa zako)

By the way wewe unaonekana ni mtu unayeridhika na mediocrisy nani amesema tuwe hapa na tusiwe pale bora zaidi..., kwanini tupigwe propaganda na sio hizo pesa za propaganda zifanye kile kinachopigiwa propaganda...

Hao ni watumishi wetu tunawalipa wala hawafanyi hisani..., hizi zibaziba za maigizo ya kutokuziba ufa mwisho wake ni ujengaji wa ukuta ambao tunajikuta huko kwenye watu wanatumia bunduki; Badala ya kupendana na kupambana na mazingira propaganda na divide and rule inatufanya tuanze kutafutana uchawi baina ya ndugu na ndugu....
 
Kwani Wafanyakazi wako wakigoma ukawaambia rudini kazini njoo tuyajenge Wenyewe wanasema haturudi tuyajenge hapa hapa utaendelea kuwaacja waharibu Mali Yako?
Tuyajenge since uhuru hizo ndo hekaya za mwanasiasa, mfanyakazi wako kila siku unampiga kalenda kwa ahadi nzuri usizotimiza siku akisema afanyi kazi mpka utimize ahadi zako anakuwa amekosea?
 
Propaganda zipi zinazotumia pesa? Kama ni propaganda kama hizi hapa basi waongeze fungu 👇

View: https://twitter.com/RashdaZunde/status/1710214957667602608?t=g_8WuTyuPlwSMX7oyCGK4Q&s=19
 
Itakuwa wewe ni maskini sana huna movements zozote au uko nje ya nchi kama Mange Kimambi ndo maana unadiriki kusema bora udikteta. Waliokumbwa na madhara ya udikteta ndo wanajua uchungu wake. Usirudie tena kuwaza huu upumbavu na kuandika uzi wa kijinga.
 
Tuyajenge since uhuru hizo ndo hekaya za mwanasiasa, mfanyakazi wako kila siku unampiga kalenda kwa ahadi nzuri usizotimiza siku akisema afanyi kazi mpka utimize ahadi zako anakuwa amekosea?
Wewe ulitakaje? Kwani udikteta sio siasa? Si aina ya mfumo wa Utawala ambao ndio kwanza inaongoza Kwa propaganda,vitisho na mauaji.
 
Wewe ulitakaje? Kwani udikteta sio siasa? Si aina ya mfumo wa Utawala ambao ndio kwanza inaongoza Kwa propaganda,vitisho na mauaji.
Bora tujue tuko chini ya mwamvuli upi sio maigizo hiiii tuliyonayo si demokrasia
 
Tanzania imefilisika haina Katiba Mpya
Tanzania Ina maisha mazuri na nafuu kuliko Nchi nyingi sana za Afrika,tunazisiwa na Nchi chache sana kuanzia kwenye Demokrasia mnayoita ya maigizo Hadi life standards mtaani.

Na Kwa awamu ya mama alivyomwaga mabilioni huko Halmashauri haijawahi tokea,Hadi anatoka tutakuwa mbali sana.
 
Bora tujue tuko chini ya mwamvuli upi sio maigizo hiiii tuliyonayo si demokrasia
Kwani saizi hujui kwamba uko kwenye Mwamvuli wa partial democracy? Na hii ndio suitable Kwa Tanzania.

Huo Mwamvuli mwingine wewe unakusaidiaje maana sielewi unachotaka hasa.
 
Kwani saizi hujui kwamba uko kwenye Mwamvuli wa partial democracy? Na hii ndio suitable Kwa Tanzania.

Huo Mwamvuli mwingine wewe unakusaidiaje maana sielewi unachotaka hasa.
Partial democracy? Ndo kuongoza watu kama ng'ombe? Kuchagulia watu viongozi? Nchi imekosa dira inajiendea tu keki kubwa inaliwa na wachache wasiojua hata kutengeneza nyingine, hata hadhi ya partial haina.
 
System ipi hauingizwi kama Ng'ombe? Wewe ndio huna dira au hujui kama Tanzania inatekeleza dira ya 2025 na Sasa dira ya 2050 inaandaliwa.

Ujinga wako usitujumuishe wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…