Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
- Thread starter
- #21
Chagua either unafungwa (which is very bad) au unafungwa alafu unaambiwa upo huru - ukibisha kwamba mbona najiona sipo huru, wanatumia pesa zako kukushawishi kukulaghai kwamba upo huru na kukwambia mbona sisi tuna-smile kama hatupo huru (which is worse)Huo huo wizi ndio safi maana inakupa chance ya kusogeo kuliko kuishi kama jela wakati uko mtaani ,ikiwa hivyo si Bora ufe tuu yaani uwe unafungwa na kuamuliwa utu wako?