Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 401
- 569
No what I'm saying is that investors like investing in areas where the president is not final of everything. Almost all pillars are functioning especially in case of disputes the investor can find easy resolution without interference by the state aparatii. For example in America the president is not final and in some cases can be jailed if he is found of guilty contrary to dicttarial regimes.Unazidi kuchanganya madesa na tunazidi kutoka kwenye reli...; na nikikufuata huko huenda tutajikuta tunaongelea Simba na Yanga...; Ukijitika kwenye Lecture at Hand utakubaliana na mimi kwamba Maigizo ni Mabaya na hata huko unakosema ni Udikteta wenyewe wanasema ni Demokrasia (hivyo hapo tutaanza debating what is democracy)
Haya tukiongelea kushika hatamu bila kutoka na wewe katika kipimo chako unaona kwamba USA ndio most democratic country nitakuuliza hivi Was Franklin D Roosevelt one of the Most Successful American Presidents and the longest serving mpaka kifo chake alikuwa Dictator ? Lets stick to the basics na basics ni Democracy is Power to the People... Thus jiulize hivi wapi The People have truly have Power ? Sasa tukija kwenye point yako kwamba vyama vya Siasa ni vyanzo vya Mapato / Pesa kwa nchi nadhani hauna tofauti na yule anayesema Petroli ni Kilevi sababu ukivuta unalewa na sio Nishati..
Above all investors like investing in places where democrasy is strong because of looking loopholes through various parties where a party in power wants to maneover him/her. That's why you find the 100 top riches are in America not elsewhere.