butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Acha uwongo,akina Mwabukusi na Dkt.Slaa mbona walikamatwa kisa wameikosoa serikali?Partial democracy hufunhwi maana Haina amei za kindezi ndezi kama kwenye authoritarian.
Huoni Kwa Sasa unatukana Hadi Rais ,unamwaga povu ila unaachwa tuu but Kwa Mwendazake wote mliufyata yaani alibakia kuja kuwaoa tuu.
Unaelewa maana ya Demokrasia kweli?
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app