And how is that a good thing ? Yaani hao wanaolalamika kwamba maisha ni magumu in reality maisha yao ni mazuri kuliko majority..., Thus mambo ni mabaya zaidi, Sasa nani wa kulaumiwa kwa hali hio kama sio watunga Sera ?
Huwezi uka-compare mwanaridha kipofu na mwanariadha anyeona yaani unatafuta weakness iliyotokea kwenye Awamu iliyopita una-compare na kilichopo sasa wakati kuna mazuri kipindi kile kuliko sasa wala haufanyi comparison..., vilevile unasahau kwamba hata hawa waliopo sasa ndio kipindi kile walikuwepo..., Mbaya zaidi tunazidi kurudi nyuma