Heri Udikteta Kuliko Maigizo ya Demokrasia

Heri Udikteta Kuliko Maigizo ya Demokrasia

Kwa nini niwadanganye? Nawaeleza kilichopo.Umewahi sikia Watanzania wanakimbia Nchi Yao kama hao mnaowasikia wanafia kwenye malori na baharini Mediterania?

Tena Serikali iendelee kupiga Pini Machadema hivi hivi wasituletee blaa blaa zisizo na msingi.
Umeshawahi kuona serikali inawaroga wananchi wake.

Mwenge wa Uhuru ndo unaleta uzombi wote huu. Mark my words
 
Kwani Wafanyakazi wako wakigoma ukawaambia rudini kazini njoo tuyajenge Wenyewe wanasema haturudi tuyajenge hapa hapa utaendelea kuwaacja waharibu Mali Yako?
Kwanza tujiulize....., katika nchi, wananchi na hawa viongozi (watumishi) nani ni mfanyakazi na nani ni mwenye mali ?
 
Unajua gharama na effects za huo wizi in the long run ? vipi hao walamba asali siku hio asali ikiishi au ikibakia ndogo ? Huoni kwamba nchi itaparaganyika na mwisho wa siku alternative ni watu Mapinduzi ambayo God Forbid inaweza ikawa Jeshi ambapo ukajikuta kwenye huo huo Udikteta ambao unasema ni mbaya (and by then hata resources watu wameshamaliza)
Wewe unazijua?
 
Kwahio wewe mtu akikuacha uongee hata kama hakusikilizi wala kufuata kile ambacho yeye kama mtumishi wako hakifuati wewe kwako unaona hio ni Demokrasia ? (Demokrasia ya Kupiga Porojo)
Sio lazima usikilizwe,wewe ongea ukichoka acha .Ni Demokrasia ndio.
 
Itakuwa wewe ni maskini sana huna movements zozote au uko nje ya nchi kama Mange Kimambi ndo maana unadiriki kusema bora udikteta. Waliokumbwa na madhara ya udikteta ndo wanajua uchungu wake. Usirudie tena kuwaza huu upumbavu na kuandika uzi wa kijinga.
Hata unajua maana ya Udikteta au Demokrasia ?

Ungejua hayo basi ungeelewa kwamba wewe upo kwenye Udikteta kwa Maigizo ya Demokrasia (Hence gharama inatumika kubwa sana kwenye hio Tamthiliya wakati in the end hakuna Demokrasia yoyote); Unless unaridhika na mediocrisy...
 
Partial democracy hufungwi maana Haina amei za kindezi ndezi kama kwenye authoritarian.

Huoni Kwa Sasa unatukana Hadi Rais ,unamwaga povu ila unaachwa tuu but Kwa Mwendazake wote mliufyata yaani alibakia kuja kuwaoa tuu.
Alishawaoa mkuu 😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sio lazima usikilizwe,wewe ongea ukichoka acha .Ni Demokrasia ndio.
Kwahio wewe kwa mawazo yako unadhani Freedom of Speech ndio the only ingredient ya demokrasia ? Yaani ukiachwa ubwabwaje wakati wanasema kelele za Chura hazimzuii Ng'ombe kunywa maji wewe unajiona umefika ?

Kweli safari bado ni ndefu....
 
Itakuwa wewe ni maskini sana huna movements zozote au uko nje ya nchi kama Mange Kimambi ndo maana unadiriki kusema bora udikteta. Waliokumbwa na madhara ya udikteta ndo wanajua uchungu wake. Usirudie tena kuwaza huu upumbavu na kuandika uzi wa kijinga.
Bado wanatamani, hawajui enzi ziliisha?
 
Kwahio wewe kwa mawazo yako unadhani Freedom of Speech ndio the only ingredient ya demokrasia ? Yaani ukiachwa ubwabwaje wakati wanasema kelele za Chura hazimzuii Ng'ombe kunywa maji wewe unajiona umefika ?

Kweli safari bado ni ndefu....
Zingine zipi ambazo hazifanyiki?
 
Hiyo ndio partial democracy kwamba unaongea ila usivuke mpaka.Kule kwingine huruhusiwi hata kuongelea issue ya serikali.

Redio zote za Umma na private ilikuwa ni kusifia na kuabudi,vijiweni watu wana hofu ,Ukiwa na pesa ni shida.Upumbavu kama huo wewe ndio unataka? Utakuwa ni mtu uliyezoea kufugwa.
Ipi Bora kutokusema na kusema bila kumaliza ulilodhamiria kusema
 
Ndio maana ya partial democracy hutakiwi kuvuka mstari.Unaambiwa andamana ila njoo tuzungumze hutaki Sasa ulitaka wamchekee? Hata Kwenye Demokrasia hakuna ujinga kama huo.
Ni heri kuwa wa moto au wa baridi kuliko kuwa vuguvugu
 
Tanzania Ina maisha mazuri na nafuu kuliko Nchi nyingi sana za Afrika,tunazisiwa na Nchi chache sana kuanzia kwenye Demokrasia mnayoita ya maigizo Hadi life standards mtaani.

Na Kwa awamu ya mama alivyomwaga mabilioni huko Halmashauri haijawahi tokea,Hadi anatoka tutakuwa mbali sana.
Kwamba Kiongozi / Mtu ndio ana utashi wa kumwaga au kutokumwaga mabilioni wapi na wakati gani ? And you call that Democracy ? Hii definition yako ya Demokrasia ungejua Demokrasia ya kweli huenda usingeridhika na haya Maigizo.

Kwa ufupi Udikteta ni Mbaya (unless ni from a Benevolent Dictator hata hivyo ni mbaya sababu mtu mmoja hawezi akawa na akili kuliko wengine)..., Mbaya zaidi ni kuwa na huo Udikteta hapo juu alafu kuufunika na uongo / propaganda kwamba ni demokrasia (Sababu Demokrasia ni Gharama hence Kutumia Gharama kwenye Uongo / Maigizo ni Worse)
 
Demokrasia ya kweli according to nani? Kwa taarifa Yako Demokrasia Haiko uniform
 
Ukweli upi na uongo gani? Partial democracy is real ni sawa na mixed economy Sasa hapo Kuna shida gani unaiona?

Narudi kwenye statement yako ya kwanza “Bora maigizo maana yanakupa nafasi ya kupumua”

So to you ,kuwa na gov inayo pretend kufanya jambo fulani ni bora?
How?
 
Back
Top Bottom