Heri Udikteta Kuliko Maigizo ya Demokrasia

No what I'm saying is that investors like investing in areas where the president is not final of everything. Almost all pillars are functioning especially in case of disputes the investor can find easy resolution without interference by the state aparatii. For example in America the president is not final and in some cases can be jailed if he is found of guilty contrary to dicttarial regimes.

Above all investors like investing in places where democrasy is strong because of looking loopholes through various parties where a party in power wants to maneover him/her. That's why you find the 100 top riches are in America not elsewhere.
 
Naunga mikono kwa asilimia zote!! 😀 😀 😀 😀 😀
 
Saa100😳
 
Bila kupepesa macho mara Mia JPM kama unabisha waulize wakandarasi wa hii nchi ambao ndo miongoni mwa watu Muhimu sio bongo movies na comedian ambao hawazalishi chochote
 
Swali lingekuwa sio kufanya Uchaguzi bali kuna haja ya kuendelea na Maigizo ?; Hata kabla hatujafika huko ni Bora tukajiuliza....

 

Indeed....The Unexamined Life is not Worth Living. Plato alikuwa sahihi.
 
Kuna msemo unaosemwa, you can fool some people for sometimes, but you can't fool, all the people, all the times. Watanzania tunapenda sana maigizo likiwemo hili igizo la uchaguzi!.
P

Pengine kwako linaonekana igizo. Ila watanzania wana kiu ya kupata viongozi wenye kujua uongozi ni dhamana. Na wanawajibika.

Maigizo ya uchaguzi ndio yanaleta maigizo hata wakati wa kuongoza. Ukiwaangalia sana watanzania wa leo, sio sawa na wale wa juzi.

Taratibu wanaanza kujua nini wanataka. Hata vijijini baadhi wanakataa kurubuniwa na wanauliza maswali magumu sana kwa wanaotia nia.

Mwenye macho haambiwi tazama....
 
Ukiwaangalia sana watanzania wa leo, sio sawa na wale wa juzi.

Taratibu wanaanza kujua nini wanataka. Hata vijijini baadhi wanakataa kurubuniwa na wanauliza maswali magumu sana kwa wanaotia nia.

Mwenye macho haambiwi tazama....
Ninaowajua mimi Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?

Hao unaowasema wewe labda ni hawa Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!

Lakini kwa uchaguzi wa mwaka huu nimewashauri Pre GE2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030!

P
 
Pengine kwako linaonekana igizo. Ila watanzania wana kiu ya kupata viongozi wenye kujua uongozi ni dhamana. Na wanawajibika.
Wana nia ya kupata maendeleo na maisha yao kuwa bora ila wanachopatiwa ni Maigizo na ukweli ni kwamba wanaochagua sio wao bali wanaletewa wa kuwachagua na hata wakishawachagua sio wao wanaoamua nini kifanyike bali waliowachagua ndio wanawaamulia
Maigizo ya uchaguzi ndio yanaleta maigizo hata wakati wa kuongoza. Ukiwaangalia sana watanzania wa leo, sio sawa na wale wa juzi.
Kwahio inakuwa haina maana sababu bora wangekubaliana na hayo maigizo kungekuwa na Tija sababu kunaleta amani kwamba ni mimi ndio nimewachagua hawa kwahio hata wakiharibu kosa ni langu na sio lao na ngoja nisubiri miaka mingine mitano nijaribu tena (kinachofanyika ni kufanya rewind na kurudia yaleyale) mwisho wa siku hakuna faida ya maigizo kama unayemuigizia anajua ni maigizo
Taratibu wanaanza kujua nini wanataka. Hata vijijini baadhi wanakataa kurubuniwa na wanauliza maswali magumu sana kwa wanaotia nia.

Mwenye macho haambiwi tazama....
Always wanajua wanchotaka nacho ni maisha bora (yaani kesho iwe bora kuliko jana); ila nikuulize hata wewe katika hii demokrasia ya leo ni nini unataka, unategemea, uhalisia na ni kipi unachopata
 

Kwani demokrasia maana yake nini? Mbona kama sioni ipo. Au sielewi hiyo demokrasia maana yake nini.
 
Kwani demokrasia maana yake nini? Mbona kama sioni ipo. Au sielewi hiyo demokrasia maana yake nini.
Demokrasia Power to the people nadhani ni nadharia ambayo tunajitahidi kuifikia lakini hatujafika huko ndio maana na wewe nimekuuliza kwenye huo uzi wa
Demokrasia katika Karne ya 21; Ni nini Tunachokitegemea, Uhalisia na Shabaha yetu ni Wapi tunataka Kufika ?

Kwamba je uchaguzi wa viongozi na sio maamuzi yanayofanywa na uliyechaguliwa ili umchague ndio demokrasia ? Pili kuna siku nikauliza Je tunachopenda au kutaka kufika ni oligarchy (mfano kama USA au tujitahidi kwenda kwenye direct democracy)

 
From a Tale of Two Cities - Charles Dickens.... (Opening Paragraph)

It was the best of times, it was the worst of times,
it was the age of wisdom, it was the age of foolishness,
it was the epoch of belief, it was the epoch of incredulity,
it was the season of Light, it was the season of Darkness,
it was the spring of hope, it was the winter of despair,
we had everything before us, we had nothing before us,
we were all going direct to Heaven, we were all going direct the other way—
in short, the period was so far like the present period, that some of its noisiest authorities insisted on its being received, for good or for evil, in the superlative degree of comparison only.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…